Furaha ya siku ya kuzaliwa

Foxhound

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
28,710
Reaction score
76,243
Namshukuru Muumba kwa kunifikisha kutimiza mwaka mwengine tena wa kusherehekea kuongeza umri niloishi hapa duniani nikiwa na siha na afya njema, kwani ni Muumba pekee ndio muweza wa kila kitu. Wengi walitamani nao waongeze umri walioishi hapa duniani ila Muumba hakujaalia hivyo. Shukrani za pekee kwa wazazi wangu kwa kunilea kwenye malezi mazuri hadi kufikia hapa nilipo, Namuomba Mwenyezi Mungu awalipe ujira ulio bora wazazi wangu kwa yale waliyopitia katika malezi yangu. Awajaalie kauli thabit Baba yangu, ndugu, jamaa na marafiki waliokwishatangulia mbele ya haki na amjaalie umri mrefu mama yangu, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki. Atuepushie kila yenye shari na atujaalie kila yenye kheri. Alhamdulillah.
Happy birthday kwangu ALI a.k.a Beberu Mwitu
[emoji323][emoji323][emoji323][emoji322][emoji322][emoji322][emoji120][emoji120][emoji120][emoji322][emoji322][emoji322][emoji323][emoji323][emoji323]

Cc: chiqutitta Sakayo Da'Vinci Clkey Shunie troublemaker Kgothalo Nahrene
 
Happy birthday day kakangu wa faida!
Hongera kwa kuongeza umri, hakika Mungu ni mwaminifu sana kwako! Zidi kumshukuru kwa kila khali!

Naomba nikutakie maisha marefu yenye amani, furaha na mafanikio!

Nakupenda ALI, Nakupenda kaka!

Happy birthday to you!
 
We mbebez wa watu nakusalimia tu mm ndio narudi lindo nataka kulala
 
Ahsante ahsante ndugu, nashukuru sana [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Happy, healthy, exceptional, rocking birthday to you my friend!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…