Furaha ya siku ya kuzaliwa

[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Usijali, Mungu akupe maisha marefu hadi ujinyonge kwa sababu hufi.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Usijali, Mungu akupe maisha marefu hadi ujinyonge kwa sababu hufi.
Ahsante chief Viatu vya Samaki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Hivi kwanini chief uliamua kujiita viatu vya samaki?
 
Itakuwa mpenzi wa jani
Kweli ila sio sana, siku hizi natumia kashata na juice

[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji377][emoji377][emoji377]
[emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…