Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Unamchamba shoga yako!?Kuna watu ambao hawakudhuru wao wenyewe, lakini wanafurahi kwa siri pindi wengine wanapokudhuru. Hawakushambulii, lakini hufurahia anapokushambulia mtu mwingine. Baadhi ya watu wenye chuki na uadui hawana ujasiri wa kukabiliana nawe moja kwa moja.✍️
Vp ulisema hii kitu ni fake news..😂Kuna watu ambao hawakudhuru wao wenyewe, lakini wanafurahi kwa siri pindi wengine wanapokudhuru. Hawakushambulii, lakini hufurahia anapokushambulia mtu mwingine. Baadhi ya watu wenye chuki na uadui hawana ujasiri wa kukabiliana nawe moja kwa moja.✍️
Kwa hiyo?Vp ulisema hii kitu ni fake news..😂View attachment 3657901
Upunguze uongo na kukurupukaKwa hiyo?