Furaha ya usiku yavurugwa na condom zilizo expire

KIDUNDULIMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Posts
966
Reaction score
540
jamani juzi nilikosa raha baada ya kushindwa kufanya tendo la ndoa na mke wangu baada ya mwenye duka kuniuzia condom zilizo expire. kwa vile mke wangu alikuwa kwenye siku za hatari na sisi wenyewe hatukutala kuleta kuimbe wmingine duniani mapema mno, niliamua kwenda dukani kununua condom. kwa vile zilikuwa kwenye vibox sikupata muda wa kuchek kama zime expire. Nilipofika nyumbani usiku kwa wati mke wangu amesha jiandaa mi nilifungua box la condom ili nichukue condom moja na kuivaa lakini cha kushangaza muda wa matumizi ulikuwa umeshapita tangu nov. 2011. ilibidi nimtaarifu mwandani wangu kilichojiri na kuairisha zoezi inagakwa maumivu makali.

maswali. w
1. Kwa wale wanaofanya mapezi ya chapchap , vichakani, gizani, na kwingineko wanapata muda wa kuangalia expiring date?
2. Je wauzaji wanajua mwanya huo kiasi kwamba wanawabambikiza wateja condom zilizo expire?
3. Nini madhara ya kutumia condom zilizoexpire kwa wanaume au wanawake?
4. Nini kifanyike ili kuzuia tabia hii chafu ya wenye maduka kuuza condom zilizo expire wakiamini kuwa wanawauzia watu ambao kutokana na ashki ya mapenzi hawatapata muda wa kuangalia tar. ya kuexpire?
 
umeshawaripoti police mjomba kwani wauzaji wanajua fika
pia TFDA wanawajibika kw ahili fikisha taarifa kwao wafane ukaguzi
 
Huwa najiuliza maswali kwa nini condom zimetangazwa sana na hata wanandoa wamedanganyika kuwa ni kupanga uzazi wazazi wetu mbona walituzaa kwa mpango wakati hakukuwa na condom na hata sisi tunazaa kwa mpango wa 4-5 years bila condom sisi ni wanadamu siyo wanyama hebu tuwe na self control
 
Kwani wewe lazima uvae kondom? Njia nzuri ni ku-withdraw kabla ya kumwaga
 

umeniangusha sana leo...Yaani mimi kweli nimelipa mahari nampiga game mama gaude wangu na condom?? God forbid!!!...yaani mi toka ile siku ya fungate mwendo ni kavu mpaka mungu atakapotutenganisha na dunia hii.....Mayassa wangu aka mama gaude toa ushuhuda hapa..
 

mkuu kama tarehe zilikuwa mbaya si ungepiga bao nnje tu? (namaanisha ku ejaculate nje na sio ndani)
 
Hivi kipi bora
Kama ndani kuna joto
Utoe kitanda nje ulale
Au uweke ac ulale ndani

Anyway, zote ni solusheni

Utafananishaje hiyo hali na joto??

(a)Hapa kuna scenarios nne:

(1) Nyege imetawala
(2) Siku ni za hatari
(3) hawako tayari kupata mtoto
(4) Condom zime expire

(b)kwenye ishu ya joto kuna scenario moja tu ambayo ni joto limezidi

how can you compare?
 
inashangaza sana, kuangalia expired date wakati mkono unaenda kinywani!!!!!!!!!!!!!!
ni kwamba uliishiwa appetite ndo ukaanza kutafuta kisingizioooo au? yaani umenunua mwenyewe, the same day........ mmeandaana...................
sipati picha
 
Kwani wewe lazima uvae kondom? Njia nzuri ni ku-withdraw kabla ya kumwaga
Hiyo unamdanganya nani? Kama hujui ni kwamba yale maji yanayotangulia kabla ya kumwaga mbegu kwa kufikia kileleni huwa yamebeba mbegu nyingi tu. Njia nzuri ni kutokutana zile siku za hatari au kutumia mpira uwe wa kiume au wa kike
 
Njia yako si salama kwa mtoa mada

Nimesha pata ona watu wakipata uja uzito kwa kufanya ngono kwa njia hii

Cha msingi ni kuwa mwangalifu usiuziwe condom ambazo muda wake wa matumizi salama umekwisha
 
Expire date dont matter,ishu ni kuzuia pregnancy,ungepiga hivyo hivyo unless labda ulikuwa unazuia kitu kingine from ur wife.au ulikuwa unaogopa condom itapitisha sparms
 
inashangaza sana, kuangalia expired date wakati mkono unaenda kinywani!!!!!!!!!!!!!!

Hapo chacha!
Kwa nini haukuangalia expire date wakati uko dukani ananunua hizo ndom zako!
Nawasiwasi labda mlichukua yale ya kutoka MSD, karibu yote fake yale, yakipata joto tu, yale majimaji yake ni lazima yakupigishe Doxy, Cipro na Metro....
MSD OVYOOOOOOOO!!!!!!!!
 
Pole mkuu but kunatetesi mwaka jana ziliingia milioni 100 ambazo hazikukidhi viwango,so hizo vingeweza kuwa bora kuliko zenye viwango.
 
du hii kazi sasa kama mtu ukishanogewa na shughuli ya awali alafu mtu unachana tu kibox ina kuwaje??
sasa hyu jamaa ina maana yeye aliacha mchezo akaanza kukagua Condom??mmmhh kazi kweli kweli..
 
Sasa ukamsaidiaje wife kutoka kwenye huo muemko uliomsababishia?
 
Ila mkuu umekosea ulipaswa kukagua ubora wa kitendea kazi pale pale uliponunua kujua kama kiko bora au la?? Vinginevyo sema kama kilikua stoo na ulikinunua 3 yrs ago!!! Pole sana mkuu!!!
 
Hongera kwa ujasili wako wa kukagua expiry date. Wengi huwa hawapati muda huo kwani muda ambao anataka kuchana atoe hiyo kitu tayari anakuwa katika msisimko wa aina yake.Withdrawal ni njia nzuri ila inahitaji uangalifu mkubwa. Kwanza wakati unataka kukoj.... ndio raha inakuwa juu zaidi unaweza kushindwa kuchomoa, pili kuna baadhi ya mbegu zinaweza kuanza kuelea kwenye vimajimaji vinavyotoka kabla ya kukoj...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…