Furaha ya usiku yavurugwa na condom zilizo expire

Kiongozi hiyo silaha ilikuwa na dalili zozote za kukutia shaka zilizopelekea ukaangalia expire date au ndio utaratibu wako,kwani ni ngumu kumesa mkuu kama mmeshapasha vyakutosha halafu game lihailishwe kienyeji namna hiyo bana..vinginevyo umeamua kutufikishia ujumbe tuwe makini na expiry date za zana za vita kabla ujaingia vitani kwa hilo shukran.
 
Wewe sio mpiganaji hata kidogo, mwanajeshi akiingia vitani halafu buti lake likaharibika hawezi kurudi nyuma lazima atasonga mbele. Ulitakiwa uende duka lingine au upige katerero ya maana kesho yake mnaanika godoro juani
 
Expire date dont matter,ishu ni kuzuia pregnancy,ungepiga hivyo hivyo unless labda ulikuwa unazuia kitu kingine from ur wife.au ulikuwa unaogopa condom itapitisha sparms
Nilikuwa naogopa kondom kuwa na side effects kwenye kibamia changu au kwenye nyeti za mke wangu
 
we kama una do na mkeo umeshindwa kusoma expiry date hao wa gizani wataweza?
 

Tumia ndogo kwn mkeo si myao huwa wanafundishwa kutoa emergence wakiwa unyagon!

Labda sio mim mke wngu wa ndoa na kondomu wapi na wapi?
 
ungepiga kavu halafu unamwaga nje,tatizo liko wap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…