Furaha yangu ni Kushuhudia Derby mapema

Furaha yangu ni Kushuhudia Derby mapema

Abul Aaliyah

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2016
Posts
7,718
Reaction score
5,899
Kutokana na utopolo kupata ushindi wa ngekewa,kinachofuata sasa ni kushuhudia Derby ya mapema ktk ufunguzi wa msimu mpya wa NBC premier league.
 
We uto mbaka ndiyo nn????
Simba wataendelea kuteseka Kwa muda mrefu sana, Mbaka watakapo tubu dhambi ya ku mhujumu Manji wakishirikiana na Makonda.
Vipigo vitaendelea mbaka washike Adabu.
 
Simba wataendelea kuteseka Kwa muda mrefu sana, Mbaka watakapo tubu dhambi ya ku mhujumu Manji wakishirikiana na Makonda.
Vipigo vitaendelea mbaka washike Adabu.
Mechi ya leo Yanga dhidi ya Coastal union MAKOLO wengi walivaa jezi zao wakiimba sana mapambio kwenye vibanda umiza.

Baada ya wasiyempenda kunyanyua tena kwapa, jezi zao zote walizivua [emoji38]
 
Mechi ya Yanga na coastal imeonyesha ni namna gani rage akukosea kuwaita makolo mbu3,maana coast kampiga mpira na huku nae akiwa anadhaminiwa na GSM,hapo awali makolo walikua wanalaumu GSM kutokua mdhamini wa ligi kuu kwa sababu za kijinga kabisa!
 
We ndiwe mbumbumbu sugu haswa wa MAKOLO, mbona ni kawaida sana matamshi hayo, ni sawa na kumkosoa aliyetamka kitu flani "kimedumbukia" kisimani na mwingine akatamka "kimetumbukia" kisimani [emoji2]
Sasa hapa unatamka au unaandika??
 
Kutokana na utopolo kupata ushindi wa ngekewa,kinachofuata sasa ni kushuhudia Derby ya mapema ktk ufunguzi wa msimu mpya wa NBC premier league.
Mnajifanya mna hela ila mpaka sasa mmeshindwa kwenye sajili za wachezaji watatu, mmoja mmezidiwa mzigo na Yanga na wawili Yusuph Bakheresa kawazidi ujanja. Sasa sijui zile hela zenu mnazotutambia za CAF mnapeleka wapi.Na kama kawaida msimu ujao HAMNA VIPORO na nakusubiri kwa hamu ngao ya hisani, halafu wahi na kwanja lako ukafyeke uwanja wenu wa Bunju.

Screenshot_20220702-193621_Instagram.jpg
 
Hicho labda Kiswahili cha kwenu
We ndiwe mbumbumbu sugu haswa wa MAKOLO, mbona ni kawaida sana matamshi hayo, ni sawa na kumkosoa aliyetamka kitu flani "kimedumbukia" kisimani na mwingine akatamka "kimetumbukia" kisimani [emoji2]
 
Back
Top Bottom