nahitaji furaha.........................jamani help me
Pole kwa kua huna furaha!
fanya hivi:
1. hali hyo ya kutokua na furaha imeanza lini!! kama ni hivi karibuni , jiulize ni kwa nini wanzoni
ulikua una furaha na sasa huna?
2. kama hujawah kua na furaha kabisa, basi:
-Pia jiulize ni kwa nini?
-Jitahidi kuafanya kile unachojisikia, kila unapojisikia, unaejisikia kufanya nae.
3. Hata hivyo hapo kwene "unachojisikia kuafanya", na "unaejisikia kufanya nae" unaweza kua na vikwazo
kama vile mtu huyo kua mbali, au kukataa kuoa ushirikiano, au uwezo lakini jaribu kwa upande wa uwezo,
jaribu kurahisisha mahtaj ili kuweza kukifnya hicho,na kwa upande wa mtu wa kufanya nae, tafta substitute.
labda mtu anefanana kitabia, mwenendo, interst n.k na yule ulomtamani.
4. Jaribu kuwa na source nyingi za kukupa furaha.yawezekana unapenda sana tensi mfano, ila mazingira ulipo hakuna tenes
ila kuna vollyball.basi jaribu pia kucheza vollybaaa.
5. Jitahidi sana ku socialize. usipende kukaa pekeyako.
6. kama knajabo la siri linalokusumbua, tafta mtu/watu unaowaamini, shiriki nao jambo hilo.ni njia nzuri sana ya kupunguza hisia.
MWISHO;Kumbuka sio kila tunalolitaka hua kama tunavo taka, lakini sio kila linapokua halijawa kama tunavyota ni hasara.
wakati mwingine ni faida sana, ilatu ni kwa kua tunakua hatujui kua kama ingekua kama tulivyotakanini kitetokea.
Pole sana rafiki.