Furahi day tulivu nakula kitimoto huku nikiburudishwa na ep ~FOA ya Diamond Platnumz

Mayunga234

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
1,725
Reaction score
1,995
Furahi day tulivu kabisaa naianza weekend yangu nikiwa Maeneo ya Sport bar Kigamboni
Napata lunch yangu safi kabisa nikiwa na burudishwa na Mziki mzuri kutoka kwa EP ya Diamondplatnumz
Huyu mwana ni wasayari nyingine kabisaa hakuna kama yeye

Ila kuna wapumbavu, majobless, watu waliokosa direction ya maisha hawajui hata kama duniani Wataanza kuiponda EP ya Diamondplatnumz

Ukianza kuiponda EP ya Diamondplatnumz ebu jiulize una nini? tangu mwaka uanze umefanya nini cha maana? Na una kipi cha kumshinda Diamondplatnumz

Mostly watu wanaoponda ukiwafatilia ni vijitu vya ajabu ajabu

My favorite track list
Loyal
mtasubiri
Fine
Sona
wonder
Melody

InShot ni Zote tu ziko poa

Follow me on Twitter Mayunga234
 
Furahi day tulivu kabisaa naianza weekend yangu nikiwa Maeneo ya Sport bar Kigamboni
Napata lunch yangu safi kabisa nikiwa na burudishwa na Mziki mzuri kutoka kwa EP ya Diamondplatnumz
Huyu mwana ni wasayari nyingine kabisaa hakuna kama yeye

Ila kuna wapumbavu, majobless, watu waliokosa direction ya maisha hawajui hata kama duniani Wataanza kuiponda EP ya Diamondplatnumz

Ukianza kuiponda EP ya Diamondplatnumz ebu jiulize una nini? tangu mwaka uanze umefanya nini cha maana? Na una kipi cha kumshinda Diamondplatnumz

Mostly watu wanaoponda ukiwafatilia ni vijitu vya ajabu ajabu

My favorite track list

InShot ni Zote tu ziko poa
Chawa kuu katika ubora stupid
 
Overrated mimi niliyekosa direction ya maisha nimesema.

Argue with your ancestors.
 
Huyu jamaa nyimbo zake kwenye hii EP sijui amezitoa wapi!!!! Hajakosea kitu
Ngoja nisikilize "nawaza"kwanza
 
Back
Top Bottom