Furahia huduma ya internet (Ateb technology)

Furahia huduma ya internet (Ateb technology)

Elieza Msuya

New Member
Joined
Jan 31, 2022
Posts
2
Reaction score
6
Habari ndugu..!!

Karibu Katika kampuni pendwa ambayo imekuwa ikitoa huduma ya internet majumbani pamoja na offisini kwa bei Nafuu kabisa.

Ateb technology tunatoa internet yenye spend na kasi ya Hali ya juu ambayo itakuwezesha ku browse na kutumia electronic device Kama kompyuta simu na camera ..!!

Tuna Toa 5mps kwa nyumbani ambayo utaweza ku browse YouTube, video games online, na mambo mengine mengi we we pamoja na familia yako na ndugu zako mkubwa nyumbani

5mbs =100,000/- amabayo utalipa kwa mwezi

Installation cost ni 200,000/- amabyo Italipwa Mara moja.
Larkin pia tunatoa Huduma za internet ua maofisini mpaka MBPS 100 na ni dedicated
Na hii Huduma tunatoa kwa dar na dodoma

Tunapatikana pssf tower
Opposite na Mlimani city
0657451090
0766231496
Karibuni sana
 
26c2520d-7cf4-4604-89ec-4ee621f73119.jpg

Huduma hiii tunatoa kwa Dar
Utaweza ku Angelia yutube, online video games na vitu vingi vingine
Tunatoa 5mps kwa laki moja kwa nyumbani
Installations 200k
Kwa mawasiliano piga
Call 0657461090
0766231496
 
Hii kitu nashukuru mmeifanya maana ni muhimu sana kwa watumiaji waelewa na wenye kufahamu maana ya internet. Mtakuwa mmesaidia jamii kwa kiasi kikubwa maana viwango vya sasa si stahiki na gharama tunazolipa.

Pongezi kwenu.
 
Voda supa kasi anatoa 10mbs kwa 120k , anyway service inapatikan dar yote?
 
Habari ndugu..!!

Karibu Katika kampuni pendwa ambayo imekuwa ikitoa huduma ya internet majumbani pamoja na offisini kwa bei Nafuu kabisa.

Ateb technology tunatoa internet yenye spend na kasi ya Hali ya juu ambayo itakuwezesha ku browse na kutumia electronic device Kama kompyuta simu na camera ..!!

Tuna Toa 5mps kwa nyumbani ambayo utaweza ku browse YouTube, video games online, na mambo mengine mengi we we pamoja na familia yako na ndugu zako mkubwa nyumbani

5mbs =100,000/- amabayo utalipa kwa mwezi

Installation cost ni 200,000/- amabyo Italipwa Mara moja.
Larkin pia tunatoa Huduma za internet ua maofisini mpaka MBPS 100 na ni dedicated
Na hii Huduma tunatoa kwa dar na dodoma

Tunapatikana pssf tower
Opposite na Mlimani city
0657451090
0766231496
Karibuni sana
Je, hii internet ina spidi kwenye torrenting na torrent downloads?
 
Back
Top Bottom