ZIPITAPO NYAKATI ZA FURAHA USIHUZUNIKE BALI UFURAHI KWAKUWA ZILIKUWAKOUsinune sasa unapopata nafasi ya kufurahi moments nzuri hazi dumu, moments nzuri ndio tunazipambania katika lifetime yetu yote.
Unaweza kuta ndio ulikua wakati wako bora wa kufurahi na kuhadithia zaidi ya hapo utatembea na maumivu makali, enjoy kijana, msela, binti.
Tomorow is not promised au sio.
True man true/ trumantruUsinune sasa unapopata nafasi ya kufurahi moments nzuri hazi dumu, moments nzuri ndio tunazipambania katika lifetime yetu yote.
Unaweza kuta ndio ulikua wakati wako bora wa kufurahi na kuhadithia zaidi ya hapo utatembea na maumivu makali, enjoy kijana, msela, binti.
Tomorow is not promised au sio.