I IshaLubuva JF-Expert Member Joined Dec 4, 2008 Posts 250 Reaction score 11 Nov 1, 2010 #1 Kocha wa Man. United alitetea goli la timu yake dhidi ya Totenhum lililofungwa na Nani katika mazingira ya kutatanisha. Habari kamili iko hapo kwenye link Sir Alex Ferguson: Heurelho Gomes to blame for bizarre Nani goal - Barclays Premier League - ESPN Soccernet Mimi najiuliza fair play iko wapi kwa kocha huyu kutetea goli la aina hiyo?
Kocha wa Man. United alitetea goli la timu yake dhidi ya Totenhum lililofungwa na Nani katika mazingira ya kutatanisha. Habari kamili iko hapo kwenye link Sir Alex Ferguson: Heurelho Gomes to blame for bizarre Nani goal - Barclays Premier League - ESPN Soccernet Mimi najiuliza fair play iko wapi kwa kocha huyu kutetea goli la aina hiyo?
Consultant JF-Expert Member Joined Jun 15, 2008 Posts 11,503 Reaction score 20,892 Nov 1, 2010 #2 Sasa afanyaje? referee alishrug na kuruhusu game iendelee......kama kipa wa Totenham alishangaa, unamlaumu SAF? Pale ilikuwa either iwe - penalty, free kick au game on. Referee kaamua game ichezwe!
Sasa afanyaje? referee alishrug na kuruhusu game iendelee......kama kipa wa Totenham alishangaa, unamlaumu SAF? Pale ilikuwa either iwe - penalty, free kick au game on. Referee kaamua game ichezwe!