M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Jul 8, 2024 #1 Wapi napata two bedroom furnished apartment kwa miezi sita. Nataka kuja dar na begi langu tuu. Budget 800k kwa mwezi
Wapi napata two bedroom furnished apartment kwa miezi sita. Nataka kuja dar na begi langu tuu. Budget 800k kwa mwezi
Mtumishi wa Bwana89 JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 3,191 Reaction score 4,220 Jul 9, 2024 #2 Hiyo ni hela ndogo sana, hapo maana yake Kwa siku ni sh 26000/=. Huwez kupata kwa hela hiyo
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 41,878 Reaction score 81,593 Jul 9, 2024 Thread starter #3 Mtumishi wa Bwana89 said: Hiyo ni hela ndogo sana, hapo maana yake Kwa siku ni sh 26000/=. Huwez kupata kwa hela hiyo Click to expand... Inaanzia ngapi ?
Mtumishi wa Bwana89 said: Hiyo ni hela ndogo sana, hapo maana yake Kwa siku ni sh 26000/=. Huwez kupata kwa hela hiyo Click to expand... Inaanzia ngapi ?