Pale airport ongea na wale Porters watakutafutia abiria mule ndani kabla abiria hawajatoka nje. Chukua tahadhari kwa wale wavaa ndala wanaojiita mataxi-dreva pale kwenye mabenchi hawana customer service kabisa. Wao kutwa kubishana mpira wa Yanga na Simba.