Drop shipping Tanzania Senior Member Joined Jun 15, 2020 Posts 198 Reaction score 481 Jul 22, 2020 #1 Habari wakuu, Mimi ni mjasiriamali mdogo nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza Flana na kofia (sare) za chama kama vile CCM na CHADEMA na ACT wazalendo kwenye mikutano Yao. Je Kuna yoyote mwenye taarifa kuhusu hii biashara? Nawasilisha na Shukurani.
Habari wakuu, Mimi ni mjasiriamali mdogo nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza Flana na kofia (sare) za chama kama vile CCM na CHADEMA na ACT wazalendo kwenye mikutano Yao. Je Kuna yoyote mwenye taarifa kuhusu hii biashara? Nawasilisha na Shukurani.
Drop shipping Tanzania Senior Member Joined Jun 15, 2020 Posts 198 Reaction score 481 Jul 22, 2020 Thread starter #2 Mzigo Hua nitaupata wapi ?
Drop shipping Tanzania Senior Member Joined Jun 15, 2020 Posts 198 Reaction score 481 Jul 22, 2020 Thread starter #3 Jee hii biashara ina faida au la?
MAGAZI JUTO Member Joined Oct 26, 2019 Posts 25 Reaction score 16 Jul 22, 2020 #4 Sharti uwe na kadi za uanachama wa chama husika
Drop shipping Tanzania Senior Member Joined Jun 15, 2020 Posts 198 Reaction score 481 Jul 22, 2020 Thread starter #5 MAGAZI JUTO said: Sharti uwe na kadi za uanachama wa chama husika Click to expand... Nitatafuta kadi Asante kwa ushauri
MAGAZI JUTO said: Sharti uwe na kadi za uanachama wa chama husika Click to expand... Nitatafuta kadi Asante kwa ushauri