Heaven Seeker
JF-Expert Member
- May 12, 2017
- 479
- 1,071
Kichwa cha thread chahusika.
Kazi: Kukaanga chips kavu, Chips Mayai, Chips Kuku, Chips Samaki na kutengeneza Kachumbari.
Muda: Kuanzia saa 2 Asubuhi mpaka Saa 5 Usiku. Siku zote za wiki. Siku ya mapumziko tutakubaliana ikihitajika.
Eneo la kazi: Mabibo.
Malipo: Tshs 5000 - 7000 kwa siku, 150,000 - 210,000 kwa Mwezi.
Motisha nyinginezo: 1)Chakula cha Mchana na Usiku bure.
2)Bonus kutolewa zaidi kulingana na mauzo yanavyopanda.
Mazingira ya kazi.
Vinatumika vifaa vya kisasa kama Majiko ya gas, deep fryer. Hakuna matumizi ya Mkaa.
SIFA: 1)Kijana Mtanashati/Msafi mwenye good customer care.
2)Ufahamu kusoma na kuandika kwa ajili ya record keeping.
3)Uwe na nidhamu, mstahimilivu, muungwana na Mwaminifu.
4) Uwe unafundishika na kukubali kuelekezwa mambo ya msingi.
UZOEFU: Angalau uwe na uzoefu wa kazi husika kuanzia miezi miwili na kuendelea,.
Kama unaye rafiki, ndugu au jamaa wa karibu tuwasiliane kupitia PM. Tukikubaliana ndo nakupa namba za simu sasa.