educator2025
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 395
- 455
Tatizo waTanzania mnataka mtafuniwe kila kitu yaani unataka tena mtoa mada akuambie Zimbabwe kuna fursa gani? yeye katoa info. kuwa fastjet wanaenda huko ni jukumu lako wewe kutafuta fursa zaidi si kumuuliza tena
Mleta Mada naomba kujua gharama toka KIA hadi JNIA ni bei gani??Kuanzia mwezi wa 8 Fastjet wataanza kupaa kwenda Harare, Zimbabwe kutokea Dar, TZ. Kwa wale wafanyabiashara katika ya nchi hizi mbili tuliokuwa lazima tupitie Nairobi kwa KQ/PW sasa tukamate fursa kuendeleza biashara.