Fursa,fursa ya kufundishwa batik,sabun za maji,miche na shampoo za nywele...

Fursa,fursa ya kufundishwa batik,sabun za maji,miche na shampoo za nywele...

Buhaya boy

Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
88
Reaction score
16
Kwanza wana jf oyee kwan hakuna mtandao wowote wa kijamii dunian nauheshim kama JF,

Nije kwenye point mimi natengeneza vitu tajwa hapo juu.Hata sasa nipo kanda ya ziwa nasambaza batik za vikoi.Kwa yeyote anaetaka kufundishwa,kununua jumla hasa batik tafadhali tuwasiliane .Nasema batik kwakuwa soko la sabun c changamoto sana --Mungu awabariki sana.
 
Back
Top Bottom