hahahahaTatizo wanaJF wengi humu wanaweza kumaliza siku wakiwa wamewapiga wadada
Bure hizo Rangi za Kucha by the way ni Fursa mzuri pia.
Unaipataje kutoka kwa ng'e?soko lipo wapi?Jaribu ku google most expensive liquid/scorpion vernom wanatumia kutengenezea insulin na mambo kibao nikikutajia bei ya lita tano ya hiyo sumu ya n'nge hutoamini kwa kifupi wanunuzi wanakufata wenyewe sasa kuna mibongo naielezea hapo juu hainielewi imekariri biashara ni kuuza mitumba inasikitisha sana
Nipo huko sasa hivi mambo si lele mama.. maana unakuta watu wanakwambia ukifuata ratiba ya chanjo tu unaweka miguu juu hapo ndipo watu wanapotezwaHaha ha ha ha ha Watu wanawachukulia kuku Rahisi sana!! Kuku wanalipa sana lakini
sio mtaji wa kitoto ule, Inatakiwa ukaze msuli kwelikweli uache mambo yako mengi na
uwe na 'usiriasi' hautaki masihara, nikianza kuelezea hapa ninavyowajua wanJF wataanza
kuniuliza kwanini umeacha kufuga.
Kuna namna ya kuvuna hiyo sumu ya n'nge kuna mashine mahususi za kuwapiga short ya umeme wanatoa sumu unakinga inatoka kidogo sana kwa hivyo ni lazima uwe na shamba kubwa la hao wadudu soko lake lipo uarabuni,ujerumani usa kenya kuna ma agent lkn ukiwauzia wao watakupiga watakupa fedha ndogo lakini malipo ni subject na hiyo liquid kuchunguzwa kwenye lab zaoUnaipataje kutoka kwa ng'e?soko lipo wapi?
Elimu yako plseMchanganuo wake tafadhali
Samahani kidogo mkuu kwa usumbufu, ungeongezea labda mbegu ya ng'e inapopatikana na elimu au sehemu wanapofugwa kwa ajili ya kwenda kupata elimu kidogo.. asanteKuna namna ya kuvuna hiyo sumu ya n'nge kuna mashine mahususi za kuwapiga short ya umeme wanatoa sumu unakinga inatoka kidogo sana kwa hivyo ni lazima uwe na shamba kubwa la hao wadudu soko lake lipo uarabuni,ujerumani usa kenya kuna ma agent lkn ukiwauzia wao watakupiga watakupa fedha ndogo lakini malipo ni subject na hiyo liquid kuchunguzwa kwenye lab zao
Naunga mkono hoja 70%Kufuga kuku
Nataka nifuge kuku nianze na kuku elfu moja wafugaji nipeni uzoefu sitaki kujaribu nataka nifanye.kuna watu waliniambia wao wamesomeshwa kwa kuku
Mbona kama unaanza kutoa vitisho mkuu NGUSHI!?Umejiandaa vizuri hela ya chakula?
Na hapo nyuma umeshawahi jaribu kufuga?
Funguka mkuuMnaifahamu INTERNET???
Basi INTERNET ina fursa nyingi sana basi tu watu tunaitumia kuingia JF, instagram na WhatsApp.
Fursa mojawapo ni kuwekeza katika Cryptos. Watu wanaziita scam business, basi tu ni vile hawana right information at the right time.
Eheeee kama mikorogo ipi inafaaa ili niwauzie wapenda rangi nyeupeBiashara ya kuuza Mkorogo inalipa.
hapa natoa macho kama fundi saa nataka nipate kitu hapaNgoja nipate elimu hapa
Ulipata eneo zuri?mkuu hii biashara ya chips naifanya dah naona 2 watu wanadharau ila mapato yake ni sawa na mfanyakaz anaelipwa 1.5 net income , ila nawaonaga wakitoka ofisin wanadharau hawajui kitu gani napata
Comment bora ya mwezi hii nahitaji kujua changamoto za kuku nimeona ni bora nijenge mabanda ya kuku kuliko nyumba za wapangaji nahisi kuku wanalipa kuliko nyumba za kupangisha nimeona wadau wengi wanasema wamesomeshwa kwa kukuMbona kama unaanza kutoa vitisho mkuu NGUSHI!?
Mdau amesema anataka apewe mchanganuo kuhusu ufugaji wa kuku swala kwamba ataweza/hataweza hilo muachie mwenyewe. Chamsingi kama unaweza kumsaidia kumpa black and white za ufugaji wa kuku we mpe yeye ndie atafanya maamuzi.
Kuuza matunda.
Kuna mdada naishi nae .Anabiashara yab kuuza matunda tu.anatoka saa moja na mpaka saa sita mpaka saa saba ameshamaliza kila kitu ,akarudi home na kupumzika..
Inalipa sana
hahahaaKwa mdada ni lazima yaishe haraka sana hasa kama ana nyama za kutosha huko kwa plate number.
Biashara za kumtoa mtu hii hahaaa utapata tu vihela vya kula nk but huwez tokaMnaifahamu INTERNET???
Basi INTERNET ina fursa nyingi sana basi tu watu tunaitumia kuingia JF, instagram na WhatsApp.
Fursa mojawapo ni kuwekeza katika Cryptos. Watu wanaziita scam business, basi tu ni vile hawana right information at the right time.