CCNP Engineer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 463
- 1,286
Biashara za kumtoa mtu hii hahaaa utapata tu vihela vya kula nk but huwez toka
Sijampa vitisho Mkuu!Mbona kama unaanza kutoa vitisho mkuu NGUSHI!?
Mdau amesema anataka apewe mchanganuo kuhusu ufugaji wa kuku swala kwamba ataweza/hataweza hilo muachie mwenyewe. Chamsingi kama unaweza kumsaidia kumpa black and white za ufugaji wa kuku we mpe yeye ndie atafanya maamuzi.
Unatengeneza mwenyewe, unatafuta vifungashio , ukiweza una label Kabisa , unaweza kusupply mwenyewe au unatafuta Kijana wa kusupply oda Kinachofuata Matangazo ya kufa mtu insta Na facebook hufi njaa mjini shoo. Kopo Bei 20000 mpk 35000.Eheeee kama mikorogo ipi inafaaa ili niwauzie wapenda rangi nyeupe
Nilikuwa natumia PS 2 na PC Kilikuwa kipindi kizuri sana Ofisi moja ilikuwa inaingizaGAZETI Ulikuwa Na Ps 2 Au 3?
Na Vp Kuhusu Mapato Kwa Siku?
Nigeria Nouma. Afrika no 1 kwa utapeli na wizi.Mkuu hii biashara sikushaur utajutia kuwekeza pesa zako, ina pesa ndio lakn changamoto zake ni kubbwa hasa hii ya kuandamwa na wazazi pamoja na wenyekiti wa mtaa ss iv wamechachamaa maana watoto na vijana wameanza mpk kuiba ili wapate pesa ya kucheza video games, hii biashara madhara inakaribia kufanana na ile ya madawa ya kulevya asee, sikukatishi tamaa lakn na de truth be told ohoo( nigerian voice), mm nimeifanya nigeria na bongo changamoto ni zile zile sema naija kuna wezi waliokubuhu ukisinzia kidg tu ofisini wateja wote hamna na hukuti ata kitu kimoja mpk viti wanabeba na polisi hawaishi kuja kukukamata
Je vile vicopo wanavyowekea pilipili ya kuuza vinauzwa madukani?Biashara ya makopo, plastic na chupa zilizotumika (mtaji wake ni nguvu zako na vifaa vya kukusanyia)
Shogaaa wakiunguwa usooooUnatengeneza mwenyewe, unatafuta vifungashio , ukiweza una label Kabisa , unaweza kusupply mwenyewe au unatafuta Kijana wa kusupply oda Kinachofuata Matangazo ya kufa mtu insta Na facebook hufi njaa mjini shoo. Kopo Bei 20000 mpk 35000.
ndio inalipa mkuu kwa utafiti mdogo niliofanya naona itarudisha helaInalipa?
Navyo ni deal pia maana kitu kinaweza kikatumika alafu baadae kikatumika tena...the same kwa chupa ya maji ya kunywa inaweza ikawa deal kwa muuza maziwaJe vile vicopo wanavyowekea pilipili ya kuuza vinauzwa madukani?
Sumu ya Nge mpaka upate lita tano mmh... hebu elezea tena huenda tukajitosa.Jaribu ku google most expensive liquid/scorpion vernom wanatumia kutengenezea insulin na mambo kibao nikikutajia bei ya lita tano ya hiyo sumu ya n'nge hutoamini kwa kifupi wanunuzi wanakufata wenyewe sasa kuna mibongo naielezea hapo juu hainielewi imekariri biashara ni kuuza mitumba inasikitisha sana
Ndio maana ni expensive jaribu ku google uone price yake per galon 5 litresSumu ya Nge mpaka upate lita tano mmh... hebu elezea tena huenda tukajitosa.
We unafanya biashara gani mkuuUlipata eneo zuri?
Nauza dagaaWe unafanya biashara gani mkuu
Unawatoa kanda ya ziwa au wa kigoma mkuu...Nauza dagaa
VIZURI MKUU GAZETI.Nilikuwa natumia PS 2 na PC Kilikuwa kipindi kizuri sana Ofisi moja ilikuwa inaingiza
wastani wa 30,000 kwa siku hapo toa hela ya kula, kumlipa mfanyakazi yaani posho
na nauli. Jumamosi na Jumapili ilikuwa 75,000 mpaka 90,000 pia na sikukuu.
Ile ofisi nyingine nilikuwa naingiza 45,000 mpaka 60,000. Jumamosi na Jumapili pia
na siku za sikukuu ilikuwa 100,000 +
1.Mapato ya Ofisi ya kwanza kwa wiki ilikuwa mpaka 300,000 kwa mwezi 1,200,000.
2.Ya pili wastani wa 450,000 kwa wiki sawa na 1,800,000 kwa mwezi hivyo
kufanya Jumla ya 3,000,000.
NB. NIMEWAHI KUWEKWA NDANI NA WAZAZI KWA SABABU YA BIASHARA HII.