Fursa: Habari Njema kutoka CRDB Benki

Kwa kweli benki za kitanzania hazina urafiki na maskini hata kidogo,hawa jamaa ni hatari sana unaweza kufa kwa presha hiyo riba yao.
 
sio crdb tu. bank nyingi tu niulizeni Mimi. mwezi wa name sasa nafuatilia mkopo. mwanzo walikuwa watamu kama asali baada kujaza fomu ila Sikh vigezo sijakamilisha Mara hawapokei Simu. sasa nimeamua kuomba benki nyingine yaani nikipa tu sipokei Simu na hiyo fomu wajikopeshe wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…