Fursa hii kwa ajili ya wale wanaopenda kufanya biashara ya mazao

hayolae

Senior Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
180
Reaction score
865
Poleni na majukumu ya hapa na pale wadau.
Leo nimewaletea fursa niliyoiona nataka tushirikishane ideas.

Iko wazi sasa hivi kuwa biashara ya mazao nchini imekua mbaya hii nikutokana na masoko ya nje kufungwa. Lakini kitu ninachokiamini ni kua biashara ya mazao haiwezi kua chini daima lazima itanyanyuka tena.

Sasa basi huu ni mda wa kununua mazao na kuyahifadhi.ili pindi biashara ya mazao itakapochanganya basi ule matunda yako. Utafiti nilioufanya mkoa wa sogwe.

Debe 1 la mahindi ni 5000/=
Gunia debe 6 35000/=
Bei ambayo ni sawa na bure kiasi cha kwamba ikitokea Soko likafunguliwa debe la mahindi huwa ni zaidi ya 10,000\=
Fursa hiyo vijana tuichangamkie.

Pia atakaekuwa interested na fursa anitafute naweza kuwa wakala mzuri wa mazao mkoa wa songwe.
0755553249.
 
mbona umezungumzia zao moja tuu kiongozi
Jombaa unataka kila kitu akumunyulie.braza fursa ziko nyingi ilimradi chapaa tu,njoo uchukue korosho kusini huku,njoo ununue mbaazi kilo tsh 300.then peleka kulasini kwa 650.piga trip zako tano tu then ujichukulie brevis yako:bongo ukiwa na pesa n akili umetusua.
 
upo sahihi kiongozi siku hizi ni pesa,akili na taarifa sahihi pia, ni vizuri pia angetutaarifu kuhusu mazao mengine kutoka huko songwe
 
Jombaa unataka kila kitu akumunyulie.braza fursa ziko nyingi ilimradi chapaa tu,njoo uchukue korosho kusini huku,njoo ununue mbaazi kilo tsh 300.then peleka kulasini kwa 650.piga trip zako tano tu then ujichukulie brevis yako:bongo ukiwa na pesa n akili umetusua.

Pamoja na kuhamasisha wenzako wapambane bila acha kupika bei
Mbaazi dar ni 300/320 kama uamini beba mbaazi zako kusini wapelekee
Wahindi
Ndo utaamini kama kweli maharage ni futali mkuu
 
Poleni na majukumu ya hapa na pale wadau.
Leo nimewaletea fursa niliyoiona nataka tushirikishane ideas.

Iko wazi sasa hivi kuwa biashara ya mazao nchini imekua mbaya hii nikutokana na masoko ya nje kufungwa. Lakini kitu ninachokiamini ni kua biashara ya mazao haiwezi kua chini daima lazima itanyanyuka tena.

Sasa basi huu ni mda wa kununua mazao na kuyahifadhi.ili pindi biashara ya mazao itakapochanganya basi ule matunda yako. Utafiti nilioufanya mkoa wa sogwe.

Debe 1 la mahindi ni 5000/=
Gunia debe 6 35000/=
Bei ambayo ni sawa na bure kiasi cha kwamba ikitokea Soko likafunguliwa debe la mahindi huwa ni zaidi ya 10,000\=
Fursa hiyo vijana tuichangamkie.

Pia atakaekuwa interested na fursa anitafute naweza kuwa wakala mzuri wa mazao mkoa wa songwe.
0755553249.
Kama unaweza Fanya michakato kwenye kahawa mkuu
Haya mazao yasiyoundiwa bodi ni Pasua kichwa kuyafanyia biashara

Hapa ni kucheza na mazao yanayosimamiwa na bodi
Mfano
Kahawa
Korosho
Pamba
Chai n.k
Huku serikali inafuatilia maana inaliingizia taifa pato kubwa
Ila uko kwingine balaaa
Mipaka ikifungwa chaliii
 
VP Korosho?naona misimu hii miwili tulioweka pesa s mbaya.
 
Kama unaweza Fanya michakato kwenye kahawa mkuu
Haya mazao yasiyoundiwa bodi ni Pasua kichwa kuyafanyia biashara

Hapa ni kucheza na mazao yanayosimamiwa na bodi
Mfano
Kahawa
Korosho
Pamba
Chai n.k
Huku serikali inafuatilia maana inaliingizia taifa pato kubwa
Ila uko kwingine balaaa
Mipaka ikifungwa chaliii
Mkuu, hivi bodi ya korosho ipo kweli? Kama ipo naomba unijuze naipataje?
Au kama unafahamu wauzaji (au exporters) wa korosho na karanga njoo inbox uniunganishe nao, nimepata watu wanahitaji hii kitu ulaya huko!
 
Bodi ya korosho IPO na mwenyekiti wake Anna abdallah
Kwa taarifa zaidi
Ingia kwenye tovuti yao
Www .cashew. go. tz mkuu
Mambo yote utayapata hapo kuhusu wao
Mkuu nimegee nami hiyo fursa kama vipi tuyajenge
 
Duh! Avatar yako yaonyesha wewe ni mjuvi wa haya mambo, hebu njoo PM tuyajenge!
Asante kwa link, ngoja nijaribu!
 
Back
Top Bottom