The man1
JF-Expert Member
- Oct 15, 2018
- 429
- 382
Habari? pole kwa kazi yakujenga taifa.
Kama kichwa kinavyojieleza, zifuatazo ni fursa mbalimbali, katika nyanja mbalimbali pia Waweza ongezea fursa uzionazo mahali ulipo? sharing is caring
-Plot moja = may contains 200 trees
Its costs depend on the agreement, and nature of those trees= 500000/=Tzs minimum
NB: Kama hiyo plot ndio inaanzishwa:
1 trees = 500;/=Tzs
Plot for 200trees may cost= 300,000/=tzs.
-Will take 3 years for harvest time to come…
KUNUNUA NAKUUZA:
TOWN:
1: Biashara
3. Kilimo na Ufugaji
Kama kichwa kinavyojieleza, zifuatazo ni fursa mbalimbali, katika nyanja mbalimbali pia Waweza ongezea fursa uzionazo mahali ulipo? sharing is caring
FURSA MBALIMBAL
Villages:- KILIMO
- Kulima/Ufugaji
- Kununua nakuuza nafaka
- Kusindika
- Kulima (Kahawa, Maharage , Mahindi, Ngano, Kunde, Mpunga, Nyanya, vitunguu n.k
-Plot moja = may contains 200 trees
Its costs depend on the agreement, and nature of those trees= 500000/=Tzs minimum
- Mahitaji:
- mbolea
- Mifuko miwili= 100,000/=Tshs
- Madawa:
- -Costs 50,000/=Tshs
NB: Kama hiyo plot ndio inaanzishwa:
1 trees = 500;/=Tzs
Plot for 200trees may cost= 300,000/=tzs.
-Will take 3 years for harvest time to come…
- Changamoto
- Wadudu na Magonjwa
- Kushuka nakupanda kwa bei ya uuzaji na ununuzi
- Uchukua muda mrefu mpaka kufika mavuno
- Gharama za utunzaji wamimea
KUNUNUA NAKUUZA:
- Mazao (Mpunga, Ngano, Maharage
- Unanunua kwa bei ya chini nakuuza kwa bei ya juu
- Mfano, waweza nunua vijijini wauzia mjini
- Au wanunua kijijini then wahifadhi then bei ipandapo wauzia hapo hapo vijijini.
- Mifugo
- As explained above
- Mtaji-Htawezesha ununuzi, usafirishaji na utunzaji
- Soko
- Elimu na Ujuzi kuhusiana naununuzi na uuzaji.
- Be specific
- -Hii itawezesha uwe na uwezo wakujua nakurebisha unapokosea nakuongeza ubora…
- n.k
- Usafirishaji
- Soko
- Kuharibika kwa mazao
- Magonjwa (Mifugo)
- Wizi (endapo hakuna uangalifu wakutosha eneo utunziapo mazao/mifugo)
- Ushindani
- BIASHARA
- Duka/ Genge
- You can be specific if you found some competion on market
- Ukopeshaji wa pesa, mbolea au madawa msimu wakilimo.
- -Kwa mabadilishano na mazao/mifugo wakati wamavuno
- Mfano: Elfu mbili =kwakila dumla ya ngano =4000/=Tzs uuzapo baada ya mavuno.
- Mpunga:
- Mfuko 1 wambolea= 1 roba la mpunga (baada ya mavuno)
- Uuzaji wa minada (Nguo e.g. Vitenge, viatu, vyombo n.k)
- -Mara nyingi huwa ya msimu
- Ukodishwaji wa spika( Mziki) katika sherehe.
- Saluni (Kwavijiji ambavyo ni nuclear)
- Uuzaji Wanyama (Supu, n.k)
- Uuzaji wa vinywaji/vilezi (virabu/bar)
- Ushonaji (especially Nguo).
- Huduma za Mpesa, n.k, vilevile usajilishaji wa line za simu.
- Usafirishaji (Pikipiki,pawatila..) wa bidhaa, watu n.k
- Kufanya vibarua (Kulima, usafisha wamashamba n.k).
- Uwakala wamazao (Ukusanyaji wamazao).
- Umiliki wa Chainsaw nakukodisha.
- Kukodisha generator
- Umiliki wamashine za upukuchuaji mahindi (Pawatila).
- Mashine ya kusaga nakukoboa mazao.
- Ufundi (Ujenzi, Useremala, radio, n.k)
- Umiliki wa mashine yakuchomelea
TOWN:
1: Biashara
- Duka/Genge
- Be specific in case you found out market competition
- Kukodisha vitu:
- Maturubai (Tents) katika mikutano au sherehe au tukio lolote
- Mashine mbalimbali (zakuchomelea, Chainsaw, Cherehani, zakutotolesha vifaranga n.k)
- Vifaa vya Muziki.
- Vyombo vya usafiri
- Frame za biashara/Kiofisi
- Ununuzi na uuzaji wa nafaka
- Uuzaji wa vyakula na vinywaji (Mgahawa, hoteli, usambazaji n.k)
- Huduma za mpesa, tigopesa n.k
- Uwakala wa huduma zakibenki
- Udalali
- Uwakala wa mazao
- Uuzaji wa Minada
- Ukopeshaji wa Fedha
- Usafirishaji (Boda, Bajaji, fuso, n.k).
- Saloon (Kike kwa kiume).
- Mfanya usafi (waweza miliki mashine zakufulia, usafi katika various company and others)
- Camera man (Photo and video studios)
- Madini (kama una connecton nzuri).
- Bakery (waweza miliki oven navitu kidogo nakuanza kazi)..
- Bwana masoko (or middle men (Kazi yako nikuzunguka kutafuta masoko tu then wawasiliana nammiliki wa bidhaa upokeapo order)
- Uuzaji wasamaki/nafaka n.k (Maeneo ya vyuo inalipa sana with free delivery)
- Ujenzi (Waweza jifunzia kwa fundi then veta)
- Ushonaji wanguo, n.k
- Umeme (waweza anza jifunzia kwamtu then college/veta)
- Simu and other electronic equipment
- IT works (website designing, windows, apps, n.k)
3. Kilimo na Ufugaji
- Bustani ya mbogamboga
- Ufugaji wa mifugo mbalimbali
- Umiliki wa mashine zakutolelesha vifaranga
- N.k
- Kusajili kampuni yakutoa elimu vijijin/mjini (Hii itawezesha kupata misaada ambayo ndio itakua kula yenu)
- Tution centers and other non-formal education organization
- Kumiliki laboratory au vifaa vitumikavyo laboratory nakukodisha kwa order mashuleni.
- Uwakala wa vyakula mashuleni/School canteen/Cf
- Kuandika nakuchapisha nakala/vitabu nakuuza (Soved question book)
- Kutengeneza website zashule (and other ICT works)
- Stationaries
- Huduma zakifedha mashuleni (Mpesa, n.k
- Kufungua duka lashule (makubaliano tu)
- Kumiliki hostels
- N.K
- Kushona na kuuza sare za vyama