Fursa: Hizi ndio fursa zinazopatikana Vijijini na Mijini

Mfumo uliopo umetufikisha mahali ambapo mambo ya msingi na umuhimu hatuyapi kipaumbele..ila Yale ya hovyoo yasiyo na tija ndio tunaweka nguvu na bando huko. Usistaajabu Uzi huu kua na wachangiaji wachache .
Huu uzi una siku nyingi tu lakini watu wanajifanya kuona kilichoandikwa hakina maana aisee!

biashara ya kununua na kuuza mazao iliniweka mjini mie
 
Barikiwa

#MaendeleoHayanaChama
 
M
Huu uzi una siku nyingi tu lakini watu wanajifanya kuona kilichoandikwa hakina maana aisee!

biashara ya kununua na kuuza mazao iliniweka mjini mie
Fafanua mkuu, ili nipate mwanga
 
Huu uzi una siku nyingi tu lakini watu wanajifanya kuona kilichoandikwa hakina maana aisee!

biashara ya kununua na kuuza mazao iliniweka mjini mie
Fafanua mkuu, ili nipate mwanga
 
Mm nahitaji kununua vitabu vya kujipima vya sekondari na kuwazuia shule mballimbali .., je imekaa vipi hiyo na ni vitu gani natakiwa kuzingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…