falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
Ni biashara gani naweza kuleta huko kutoka huku na ikasogea haraka..........?.....
biashara unahamia hukohuko au una export from TZ
vijana wa kizigua wamejazana huko baada ya kuwatapeli watu huku kkoo, mmojawapo ni sancho isije kuwa we ni mmojawapo
vyovyote utakavyo penda
Wewe ungetoa tu uzoefu wako na kudadavua fursa zilizoko huko, kama walivyofanya jamaa walioko Mozambique, wanaokwenda Thailand, China, Comoro. Unafunguka tu mafursa unayoyaona yako watu wanajiongeza.
Wewe sio mtz, acha kudanganya watu. angalia kwenye red. wewe utakuwa mkenya unataka kupiga watu hela hapa, na siku hizi kuna kutuma mpesa kwenda kenya, angalia kwenye red.yaani umefeli mtihani mdogo sana.biashara ni mingi ila inategemea ni mtaji wa kiasi gani ulio nao
wewe sio mtz, acha kudanganya watu. angalia kwenye red. wewe utakuwa mkenya unataka kupiga watu hela hapa, na siku hizi kuna kutuma mpesa kwenda kenya, angalia kwenye red.yaani umefeli mtihani mdogo sana.
jambo zuri umesema shida iko hv nikiandika post ndefu inakataa kujipost inataka niirefresh then post inapotea
wewe sio mtz, acha kudanganya watu. angalia kwenye red. wewe utakuwa mkenya unataka kupiga watu hela hapa, na siku hizi kuna kutuma mpesa kwenda kenya, angalia kwenye red.yaani umefeli mtihani mdogo sana.
Pole mkuu, ungeandika pembeni then unalogin unacopy, unpaste, unapost!
nimeku pm
watu wa PM siku zote ni matapeli
Kenyan detected..sasa hujaombwa pesa tayari umepanic je ukitumiwa ticket ukuje huku si utazirai,peleka njaa zako shamba
nimeku pm