falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,189
- 9,299
- Thread starter
-
- #41
korosho zilizo banguliwa na kua packed au korosho za maganda?
zilizobanguliwa inatosha kabisa packed wanatafanya wenyewe,ukifika ulizia mtaa waitwa black markeit hapo ,
Nina samaki wa mapambo naweza kupata soko la uhakika?
zilizobanguliwa inatosha kabisa packed wanatafanya wenyewe,ukifika ulizia mtaa waitwa black markeit hapo ,
Mkuu vp biashara ya kazi za sanaa ishaanza kusimama Mombasa au hata Nai? painting pictures, culture n.k
Mkuu Falcon unaweza kutuambia bei ya vitunguu saumu kwa vipimo vinavyotumika huko? Nashukuru sana, ubarikiwe sana
Mkuu vp biashara ya kazi za sanaa ishaanza kusimama Mombasa au hata Nai? painting pictures, culture n.k
Samaki toka Nyasa, Tanganyika au Victoria? unaweza kuwapata wengi? nje ya samaki wa mapambo kuna nn kingine unacho? Kaa?
Umetisha sana mkuu falcon mombasa, God bless you. Paranoiacs wamebaki midomo wazi
Kwa yeyote mwenye swali kuhusu fursa za aina mbalimbali katika jiji la Mombasa (MSA) na Kenya in general aniulize hapa. Mimi ni Mtanzania mwenzenu niko hapa kwa mwaka wa tano na napenda kumeet na wapiganaji wenzangu wa maisha.
Vipi Wanamombasa wanarejea lini nyumbani TanZania Kubwa? au hawana mpango kabisa wanataka kubakia Kenya?
safi sana, thread hii insaidia info
sina mpango wa kuish tanzania ila huwa nakujaganga kuona ndugu jamaa na marafiki,wazazi wako dar,nilisoma hapo kimara na bagamoyo secondary school pia nilisomaga na chuo flani hapo town,umri nimezaliwa march 1990 na ni mkatoliki,napenda chama kinachofanya vizuri kwa raia wake sababu fursa ni nyingi ila serikali ya tanzania inawakwamisha sana vijana ukilinganisha na kenya ambapo rasimali mingi hutoka nyumbani tanzania. i 5000 KSH = 99700 TSH
here we go! bagamoyo ulisoma mwaka gani mkuu? seems like ur my school mate hope huwezi niangusha nataka nifanye mchakato wa kuleta korosho huko!