Kuna jamaa mmoja toka humu humu JF alinifuata na kuniambia brother naona wachangiaji wengi wanaikosoa hii fursa
ukweli hata mimi ilikuwa ngumu kuamini lakini nimekuja kwako leo nimeona jinsi ulivyowekeza na unavyonufaika.Akasema unajua watu wengi wanakufa maskini kwa sababu ya kushindwa kuthubutu na ku take risk.Let assume mtu ambaye kila wikiend au kila siku anaenda kuweka heshima bar,au mtu ambaye kazi yake yeye ni kuhonga tuu, au wale wanaoshinda club hawana hata wikiend.Kwa nini wasijinyime angalau hata miezi miwili kufanya hayo mambo wakakusanya hela ya kuwekeza kwenye hii fursa incase kama wakiliwa kama wanavyoa amini hawataumia sana coz hela ilikuwa lazima itumike tu.Mimi nikakosa cha kumjibu ,nikasema kimoyo moyo jamaa amefikilia mbali sana.Ila ni ukweli usiofichika Wengi wetu tunaogopa sana ku take risk at the same time fedha ambazo tungeweza kuzifanyia biashara tunafanya kazi ya kuzifuja katika matumizi yasiyozalishia.