Fursa kama hii ndio nilikuwa naitafuta kwa muda mrefu

Fursa kama hii ndio nilikuwa naitafuta kwa muda mrefu

7478eed0de93839cdb20aa6b4a0cd741.jpg
4486bd59dcb7dd3a7f9282c0ac7e1725.jpg
908320d3ba4824a64c56ccbaa496c34b.jpg
b1237de9ba909988c50b69734be7b709.jpg
f96f27e3ee8f419202cbe8ac589db8be.jpg
ae1974e1283fc50c31e6e26d26238d8d.jpg
5d9c2b3dd40a7dad9a043d75c386bb0b.jpg
1f177fbad2d2fd022a2cea91d3aa3081.jpg
06cd4d330bf8cd5bf5ad5c4ec8c1a942.jpg
743e2df84f0ec2edf62d9a57d8efbe09.jpg
1ba19797628b1733313b1050e4038ad5.jpg
7c3a82386e18a0b3e72a158a22ed57ae.jpg
Asante mleta mada,lakini kumbuka BITCOIN ni currency inayoweza kuwa traded na kampuni yoyote duniani.Kutokana na Currency ya Bitcoin kushika kasi duniani ,kampuni nyingi zimekuwa zikijitokeza kutoa huduma ya bitcoin..Hiyo unayozungumzia inaitwa Xbinary na sio Bitco international .Ni sawa sawa na kampuni mbili zifanye biashara ya kuuza mpesa ,halafu mojawapo ikawa ya kitapeli haimaanishi na ile nyingine ni tapeli pia.

Kama ni zaidi ya DECI basi bwana....maana deci ilinifanya vibaya sana ...nimeshtuka kusema iko zaidi ya deci

Wewe umetoboa kimaisha hadi wapi?? Au una milioni/ bilioni ngap hadi sasa??

Tuanzie hapo kwanza

Wadau wa Jf naomba muelewe kitu kimoja,mimi kuitangaza hii fursa sio kwamba nimewalazimisha watu wajiunge.Nimetangaza hii fursa ili wewe kama wewe ufanye maamuzi either ya kujiunga au kutokujiunga.Halafu pia una uhuru wa kufanya research vile unavyojuaww kuhusu hii kampuni ya Bitco International ,ukiona una mashaka nayo unaachana nayo hulazimishwi.Mimi simfungi mtu kwamba lazima aingie...kuingia au kutokuingia hiyo ni hiari ya mtu binafsi.Sasa nimeandika haya kwa sababu nimeona watu wamekuwa wakitoa comment za ajabu sana as if nna ugomvi nao.kuna wanaotoa comments za kejeli na wengine wamefikia kutoa proof ya kutapeliwa na kampuni ambayo sio Bitco International..Bitco international toka ianzishwe haijawahi kutapeli hata mmtu mmoja.Kampuni zinazofanya biashara ya Bitcoin zipo nyingi sana kwa sasa na wengine ni matapeli kweli ,lakini bitco-international haijawahi kutapeli toka ianzishwe.

Labda tu niseme kitu kimoja,kama unaona fursa haikufai ni bora tu uachane nayo na utafute fursa nyingine sahihi kwako kuliko kudhihaki bila proof.

wale wale wa siku zote...... fursa za Nigeria na Kenya??????
Tatizo wabongo tunakata vitu mteremko sana.

wale wale wa siku zote...... fursa za Nigeria na Kenya??????
Tatizo wabongo tunakata vitu mteremko sana.

jipe muda wa kutosha kupitia vizuri kilichoandikwa then uje ku comment ,unajua ukiwa unasoma kitu kwa kuweka mbele negative mind huwezi elewa kitu.

Kenya na Nigeria!!!! HAPANA kwa herufi kubwa, bitcoin!!!!! shetani pita mbali na wanaJF wenzangu tokaaaaa!!!

Ndugu zangu wa JF kwa muda mrefu nilikuwa nikitafuta fursa sahihi ya kunitoa kimaisha lakini bila mafanikio.Nimejaribu biashara kadhaa lakini changamoto ni nyingi kutokana na ukweli kwamba sina muda wa kuzisimamia na pia wakati mwingine changamoto toka kwa ma competitors wa biashara nnayofanya.Hivi karibuni nimefanikiwa kutambulishwa fursa ambayo inanipa financial freedom.Ninaposema financial freedom ninamaanisha ni financial freedom kweli kweli.Fursa hii hainihitaji niajiri mtu kuisimamia wala hainihitaji nitoe muda wangu mwingi katika kuifanya.Ni fursa ninayoweza kusema ni simple ,smart and clear.Fursa hii ni ngeni hapa nchini kwetu imesambaa sana katika nchi za ulaya na america,kwa Africa Nigeria na Kenya ndio nchi ambazo zimeichangamkia sana fursa hii.Tanzania watu wengi hawajaifahamu bado,ila naamini kwa yeyote ambaye atabahatika kuisikia hawezi kuiacha.

Fursa hii inahusika na uwekezaji.Kampuni ya kiingereza inayoitwa Bitco International ndio inayotoa fursa hii ya uwekezaji.Mwekezaji atakayewekeza katika kampuni ya Bitco International atapata 3% ya kiasi alichowekeza kama return ya investment kila siku kwa muda wa siku 50.Kampuni inakua kwa kasi siku hadi siku ,na kwa sasa imefikia hatua ya kufungua Charity program katika nchi za Nigeria na kenya.

kuna baadhi ya watu niliokutana nao wengi wao wamekuwa wakiifananisha na Deci,au Network Marketing..Lakini ni waambie tu ukweli hii ni zaidi ya Deci au network Marketing.Kumbuka investment investemnt hii inahusisha coin inayoitwa Bitcoin.COIN ambayo ni maarufu nchi za ulaya ,america na Asia.kwa wenzetu ulaya Bitcoin inatumika kwenye transaction kama currency za kawaida.so kampuni inapopokea coin ulizonunua inaenda kuzi trade then faida ipatikanayo inagawanywa.Pia kampuni ina uwekezaji wake mwingine mwingi tu ,mojawapo maarufu ni kampuni ya bahati nasibu .

uwekezaji huu unafaida kubwa sana coz wana option ya auti compounding,ambapo faida iliyopatikana na mtaji wako vinaweza kujumlishwa na kuinvestiwa tena na ile asilimia tatu ikakatwa kwenye jumla.Kima cha chini cha kujiunga ni Tsh. 30,000/-..kima cha juu hakina limit.

kwa mtu ambaye ataweka laki tano au 1m kwa muda wa miaka 2 ,sijui kama atafikiria kuajiriwa,hii itakuwa ndio biashara yake for life.Mimi ninaona matunda yake ndio maana na witness hii kitu.

Kwa yeyote anayetaka kujiunga au maelezo ya kina kuhusu hii fursa awasiliane nami kwa namba hii 0712 799747.
Please ,mawasiliano yawe either call, sms au whatsapp kwa sababu ya urahisi wa ku respond.Kwa mtu ambaye atataka kujibiwa hapa itabidi awe mvumilivu coz naweza chelewa kumjibu kwa sababu huwa siingii mara kwa mara
Boss mm nnanjaa na pesa lkn kwa hyo fursa ya wakenya na Nigeria nyie endeleeni mnufaike bado nazipenda hela zangu mm ctaki pressure yakukitafutie

Naona mitaji inatafutwa kwa kasi ya deci awamu hii........ Tangu lini laki tano iwekezwe na utajitike ghafla na usihitaji kufanya kazi tena??? Labda kama tunawekeza kwenye drugs deals sawa!!! [emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]

[quote uid=177464 name="ONTARIO" post=20329092]Mkuu naomba unielete/utueleze japo kdg hao jamaa walikulaje pesa yako?! Hiyo account ilifungwaje?! Hiyo coin inaitwaje? Je hiyo coin uliinunua kupitia 'Coinbase' au ulinunua kupitia platform yao binafsi?![/QUOTE]
Yaani tangazo nililipata kwenye group moja la kilimo kwenye fb yaani pata pesa bila kutoa jasho na cryptoion currency nilipo soma nika join ktk group la whatsapp nikawa nawasoma tu bila kujibu kitu admin wao wahilo group akawa kateka akili za watu kwa maneno ya kusifia na faida wanao pata na kila siku kujirecord audio picha za sreen kupiga faida anazo pata yaani kununua hio bitcoin unanunua kwa 650,000 unapewa bitcoin 0.03

sasa faida kwa kila siku ni 20,000 yani unit inasabu kisha ile unit za faida unatoa unapeleka ktk wallet munauziana nyinyi kwa nyinyi yani thamani munapandisha wenye munavyo uziana sasa admin alikua akihamasisha sana na faida wanazo pata na mimi tama ilinikamata nikamuuliza tule jamaa alie weka tangazo kwenye grop la ufugaji

nilimuuliza hio biashara gani inayo kulipa hivyo kwani hio bitcoin inafanya kazi gani? Akaniambia ni biashara ya mining nikamwambia mimi dini yangu inakata dhulma, kamari, na riba vp kuhusu hio biashara ipo miongoni mwa hizo akanihakikishia nibiashaea ya mining sio ktk hizo maana nilijaribu sana ku search dini inasemaje lkn wengi ilikua ni ?

Basi ikabidi nijiunge kwa huyo ambae nililoliona tangazo lake ni chama kimoja na admin na admin alikua akisisitiza kila alie hamasishwa na mtu ndio ajiunge kwake nikamwambia huyo jama sasa ni bei gani kupata btc 0.03

akaniambia kwa sasa imezidi kupanda toa Tsh 740,000 alinisifia sana kwa hio ni biashara sawa akanionesha jinsi yakufungua wallet paxfull sasa ikawa ni issue mpaka kuniwekea hio btc ilikua namkera kila siku nikaja kuipata baada ya siku 3 ktk wallet eti mtandao unasumbua

haya kueka ktk mining ya cryptoin nilika karibu week ilikua mwakajana mwezi wa 12, nilimsumbua mpaka akanionesha jinsi ya kuhamisha ktk wallet na kupelek kwenye cryptoion mining nilipo weka tu ikaanza kusabu unit nikamwambia anioneshe jinsi ya kupata cash sasa maana inasiku moja tangu ipo mining

akanionesha kupeleka ktk wallet na nikitaka nimuuzie yeye anahitaji sasa akanipa account yake ya wallet yake nikatuma akasema itakapo fika ndio atanilipa ikawa pending tu siku ya pili nikamtafuta member wahio group kua nimuuzie nae tukakubaliana hivyo hivyo nae ikawa pending jioni yake nikaona mzozo tu ktk group lahio whatsapp kua tangu 25 des mtandao wamefunga na inaonesha tumesha tapeliwa

wale admin na wanzake waka wa kimya tu hawachangi tena kama walivyo kua wanahamasisha tukawa tuna jadili sie kwasie member nika mwambia huyo alie niunga wewe siumenipa 100% kua sio utapeli na hii nini? Na kwanini umeniunga naunajua kama matatizo imesha tokea akawa mjeuri na kusema ulitaka nifanyaje mbona na mimi nimewekeza maneno mengi hapo kila kukicha

watu ndio wakaanza kutoboa siri kua hio nikamari na hao kina admin ndio wana dili na hao walio anzisha hio chama ya cryptoion tukawa tunasubiri muafaka sasa hao kina admin nawenzake wakasema hizo account zetu inatakiwa kuongeza pesa ya kununua 1btc dhamani yake sijui iliku dola elfmoja na ama account zetu zita blockiwa wengi tulijua huo niutapeli wa nigeria tu nahao wa tz wanashirikiana nao basi ilitushinda wengine wakakubali kuondoka ktk group wengine tulika tuone muafaka itakuaje maanake nimetoa 740,000 sikupata hatasenti ya faida wala nini

na hela yangu imeingizwa kumbe walishaifunga hio web yao ya cryptoin watu kulalamika sana wakaleta hewani lkn imelokiwa huezi toa inasabu tu member wazoefu wa hio kazi wakanishauri kama imefunguliwa nyingine ni mpya inaitwa lightbitcoin hii mchezo unatakiwa kuwahi mapema ikika mwezi tu wanafunga na huu mchezo inatakiwa kuweka pesa ndogo tu ili wakifunga usipate hasara sababu hela uliotoa ni nyingi sana na imepotea jaribu lightbitcoin ili kamautapata ilipe maumivu yako hata kidogo haya nikatoa 40,000 nikajiunga nahio mpaka leo hii inasabu tu unit haitoi hela haitoi wamefunga na kuhusu cryptoin walitublock kabisa hata shilingi sikupata jumla
780,000 zimeenda na hewa nahilo group nikaondoka nikaona hapa ni chuma ulete ni kamari, dhulma, na utapeli tu hakuna kingine wanavyo pamba maneno utajua nibiashara lkn ingia ni unatapeliwa na kuondoka zako

[quote uid=177464 name="ONTARIO" post=20329092]Mkuu naomba unielete/utueleze japo kdg hao jamaa walikulaje pesa yako?! Hiyo account ilifungwaje?! Hiyo coin inaitwaje? Je hiyo coin uliinunua kupitia 'Coinbase' au ulinunua kupitia platform yao binafsi?!

Yaani tangazo nililipata kwenye group moja la kilimo kwenye fb yaani pata pesa bila kutoa jasho na cryptoion currency nilipo soma nika join ktk group la whatsapp nikawa nawasoma tu bila kujibu kitu admin wao wahilo group akawa kateka akili za watu kwa maneno ya kusifia na faida wanao pata na kila siku kujirecord audio picha za sreen kupiga faida anazo pata yaani kununua hio bitcoin unanunua kwa 650,000 unapewa bitcoin 0.03

sasa faida kwa kila siku ni 20,000 yani unit inasabu kisha ile unit za faida unatoa unapeleka ktk wallet munauziana nyinyi kwa nyinyi yani thamani munapandisha wenye munavyo uziana sasa admin alikua akihamasisha sana na faida wanazo pata na mimi tama ilinikamata nikamuuliza tule jamaa alie weka tangazo kwenye grop la ufugaji

nilimuuliza hio biashara gani inayo kulipa hivyo kwani hio bitcoin inafanya kazi gani? Akaniambia ni biashara ya mining nikamwambia mimi dini yangu inakata dhulma, kamari, na riba vp kuhusu hio biashara ipo miongoni mwa hizo akanihakikishia nibiashaea ya mining sio ktk hizo maana nilijaribu sana ku search dini inasemaje lkn wengi ilikua ni ?

Basi ikabidi nijiunge kwa huyo ambae nililoliona tangazo lake ni chama kimoja na admin na admin alikua akisisitiza kila alie hamasishwa na mtu ndio ajiunge kwake nikamwambia huyo jama sasa ni bei gani kupata btc 0.03

akaniambia kwa sasa imezidi kupanda toa Tsh 740,000 alinisifia sana kwa hio ni biashara sawa akanionesha jinsi yakufungua wallet paxfull sasa ikawa ni issue mpaka kuniwekea hio btc ilikua namkera kila siku nikaja kuipata baada ya siku 3 ktk wallet eti mtandao unasumbua

haya kueka ktk mining ya cryptoin nilika karibu week ilikua mwakajana mwezi wa 12, nilimsumbua mpaka akanionesha jinsi ya kuhamisha ktk wallet na kupelek kwenye cryptoion mining nilipo weka tu ikaanza kusabu unit nikamwambia anioneshe jinsi ya kupata cash sasa maana inasiku moja tangu ipo mining

akanionesha kupeleka ktk wallet na nikitaka nimuuzie yeye anahitaji sasa akanipa account yake ya wallet yake nikatuma akasema itakapo fika ndio atanilipa ikawa pending tu siku ya pili nikamtafuta member wahio group kua nimuuzie nae tukakubaliana hivyo hivyo nae ikawa pending jioni yake nikaona mzozo tu ktk group lahio whatsapp kua tangu 25 des mtandao wamefunga na inaonesha tumesha tapeliwa

wale admin na wanzake waka wa kimya tu hawachangi tena kama walivyo kua wanahamasisha tukawa tuna jadili sie kwasie member nika mwambia huyo alie niunga wewe siumenipa 100% kua sio utapeli na hii nini? Na kwanini umeniunga naunajua kama matatizo imesha tokea akawa mjeuri na kusema ulitaka nifanyaje mbona na mimi nimewekeza maneno mengi hapo kila kukicha

watu ndio wakaanza kutoboa siri kua hio nikamari na hao kina admin ndio wana dili na hao walio anzisha hio chama ya cryptoion tukawa tunasubiri muafaka sasa hao kina admin nawenzake wakasema hizo account zetu inatakiwa kuongeza pesa ya kununua 1btc dhamani yake sijui iliku dola elfmoja na ama account zetu zita blockiwa wengi tulijua huo niutapeli wa nigeria tu nahao wa tz wanashirikiana nao basi ilitushinda wengine wakakubali kuondoka ktk group wengine tulika tuone muafaka itakuaje maanake nimetoa 740,000 sikupata hatasenti ya faida wala nini

na hela yangu imeingizwa kumbe walishaifunga hio web yao ya cryptoin watu kulalamika sana wakaleta hewani lkn imelokiwa huezi toa inasabu tu member wazoefu wa hio kazi wakanishauri kama imefunguliwa nyingine ni mpya inaitwa lightbitcoin hii mchezo unatakiwa kuwahi mapema ikika mwezi tu wanafunga na huu mchezo inatakiwa kuweka pesa ndogo tu ili wakifunga usipate hasara sababu hela uliotoa ni nyingi sana na imepotea jaribu lightbitcoin ili kamautapata ilipe maumivu yako hata kidogo haya nikatoa 40,000 nikajiunga nahio mpaka leo hii inasabu tu unit haitoi hela haitoi wamefunga na kuhusu cryptoin walitublock kabisa hata shilingi sikupata jumla
780,000 zimeenda na hewa nahilo group nikaondoka nikaona hapa ni chuma ulete ni kamari, dhulma, na utapeli tu hakuna kingine wanavyo pamba maneno utajua nibiashara lkn ingia ni unatapeliwa na kuondoka zako[/QUOTE]
Pole sana best hii tz watu wanatafuta hela kwa nguvu maana Hal ni mbaya

Kuanzisha charity siyo hoja ,Watu wanapotaka kuiga hela kubwa wanajizatiti. Wanaweza kuchimba hats visima kwa gharama ya 40000000/_ lakini hizo si zitarudishwa na wateja 10 na wao wanapata wateja Wa watakaoigiza mabilion hats matatu. Duniani ukiona kampuni ya kutoa riba ambazo si halisia basi ujue si mradi endelevu. Mifano IPO mingi ila kwa kuwa watu wanaamini bila kufikiri huamini ma kuumizwa. SIKUPIGI VITA ILA KUTAHADHARISHANA MUHIMU. NINA IMANI HATA USAJILI SERIKALINI HAWAJULIKANI NI MAMBO YANAYOENDA KICHINICHINI .SIKU IKIANZA KUJULIKANA NI MISDION ACOMPLISHED ,HAUTAONA HATA OFISI ZAO. SISEMI TENA NIMETAHADHARISHA.

Wakuu kuweni makini na hii Biashara,
Katika uchunguzi wangu wale wanaopigia chapuo hii Biashara wanaonekana walio wengi ni memba wapya humu jamvini na siku zao za kujiunga zinafanana au kukaribiana , hivyo sisi wenye 6th senses tushang'amua kuwa inawezekana akawa mtu mmoja anayetaka kufanya utapeli au kikunfi flani cha watu konachotaka kufanya mbaya wana JF. Chunguza uchangiaji wao na siku zao za kujiunga JF kwa wadau wafuatao kisha utagundua kitu flani.

Angalizo langu "beware of conmen" -kuwa makini na matapeli hata JF wapi.

Back
Top Bottom