Fursa kama hii, nisingependa kuificha, acha na wengine waijue...

Schoolbook

Member
Joined
Aug 31, 2011
Posts
27
Reaction score
5
Unatafuta shule, au unatamani shule yako ijulikane kitaifa na kimataifa.Tembelea Schoolbook Classic | Homepage
kwa maelezo zaidi. salama, bure, na rahisi kutumia. Wengi wanatumia wewe je? Tangaza shule yako, ijulikane..hii ninafasi yako sasa..
 
safi mkuu, hizi ni habari njema kwa wadau wote
Ndiyo hivyo mkuu, inabidi sasa jamii iamke kuhusu matumizi ya mitandao, katika mambo muhimu kama shule,ajira,maisha na kadharika siyo mambo furani furani tu...
mtandao kama schoolbook, unaweza kubadilisha kabisa taswira ya elimu barani mwetu, hasa Tanzania, kwani watu wachache wenye pesa wanafanya elimu kuwa biashara ya wao kujiongezea kipato isivyo halali. Angalau sasa tunaweza kupata wasifu wa shule mbalimbali na annuani zao kwa urahisi hayo na wengine mengi ndani ya mtandao huu wa schoolbook. Asante mkuu kwa kindness.
(Nachanganya lugha nisamehe)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…