Fursa kubwa kwa kila mtu (H2i)

Fursa kubwa kwa kila mtu (H2i)

nsemwae

Senior Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
175
Reaction score
53
FAHAMU JINSI YA KUJISAJIRI NA HELPING HANDS INTERNATIONAL (h2i) AMBAYO NI FURSA MUHIMU KWA KUJIKWAMUA KIUCHUMI


HELPING HANDS INTERNATIONAL (H2i)

Hii ni taasisi isiyo ya kiserikali imeanzishwa huko ufilipino kwa kazi kubwa ya kuwasaidia watu masikini,walemavu,yatima wajane na wenye magonjwa sugu nao kuishi maisha ambayo Mungu anapenda.

Hivyo H2i imekuwa ikifanya hivyo ili kusaidia makundi haya duniani kote bila kubagua rangi dini wala kabila.

Taasisi hii ya H2i inamfaa yule tu anayeguswa na mahitaji ya hayo makundi na anayependa fedha zake zitumike kusaidia watu kama hao.

Ni rahisi sana kuwa mwanachama wa helping hands international!!!! Lakini kabla sijaendelea na namna ya kujisajili na kuwa mwanachama, hebu tuangalie faida ambazo mwanachama/member/partner wa helping hands international anazipata anapokuwa na helping hands international

Mkopo usio na riba kwaajiri ya kuanzisha biashara yako

Gari mpyaa aina ya Hyundai

HP Laptop

Apple iPad

Safari za nje za bure (all expenses paid int’l trips)

Nafasi za masomo kwa watoto wako wawili

Nyumba nzuri ya thamani ($40,000)

Mafunzo ya ujasiriamali buree

Kuwezeshwa kibiashara (biashara yeyote unayotaka kufanya)

Kipato kinachozidi kuongezeka hadi $12000 na Zaidi.

Pia zifuatazo ni HUDUMA/SERVICES ambazo helping hands international inawapatia watu wanaostahili kusaidiwa katika jamii zinazotuzunguka:

Misaada ya chakula, elimu, mavazi n.k kwa watu wa makundi tofauti kama vile:

Wajane

Walemavu

Yatima

Wagonjwa mahospitalini

Watoto wa mitaani n.k


NAMNA YA KUWA MWANACHAMA

1. Utatoa mchango wa moja kwa moja wa jumla ya DOLA 40 AU Tsh 90, 000

2.Baada ya kutoa mchango huo utasajiliwa na kupewa akaunti yako kwenye tovuti ya Shirika www.helpinghandsinternational.biz/how-it-works.php

Akaunti hiyo itaonesha utendaji wako.

3. Baada ya kusajiliwa utapokea namba yako ya siri ya kuingilia kwenye akaunti. Namba hii utaibadilisha na kuweka unayotaka wewe. baada ya hapo sasa wewe unakuwa balozi wa Taasisi ya H2i.

4. Baada ya kuwa Balozi utatakiwa kueneza habari njema za H2i na kuendelea kusajili Mabalozi wengine.

Kila unapopata mtu wa kumuunganisha na Shirika kuwa balozi utapatiwa Dola 8 ambazo zinaingizwa moja kwa moja ndani ya Akaunti yako.

Baada ya kusajiriwa utaweza kuingia mwenyewe kwenye website/ tovuti ya helping hands international ambapo utaweza ku login kwa kuingiza neno lako la siri kama unavyo fanya ukiingia facebook, kisha utaweza kuedit au kubadirisha baadhi ya taarifa zako mwenyewe ikiwemo neno la siri au password.

Baada ya hapo utakua tayari ni mwanachama wa h2i ambapo na wewe utaweza kusajiri wanachama wapya chini yako na kujiongezea kipato chako. Hii ni njia nzuri sana na rahisi kwako wewe kijana mwenye malengo ya kujikwamua kiuchumi na hata kutimiza ndoto zako kwa kujiongezea mianya mingi ya kipato bila kuathiri ajira yako au muda wako,

kwani baada ya kuwa mwanachama unachotakiwa kufanya ni kuwashirikisha watu wengine wawili tu, kisha na hao wawili nao uwahimize kufanya hivyo hivyo. Ni rahisi mno. Labda nikuonyeshe kwa ufupi kiwango cha pesa ambacho utakuwa ukitengeneza kwa kila hatua utakayo pitia kama mwanachama

Stage 1 (associate), utalipwa $58

clip_image002.png




Stage 2 (masters),

clip_image004.png


utalipwa jumla ya $1000, ambapo utaanza kupokea kwanzia $100 hadi $400 ($100, $200, $300, $400)

Pia utaweza kunufaika na vitu vifuatavyo:

Hp laptop

Laini ya internet ya bure ambayo hutaweka vocha. (Glo CUG LINE), ambayo utachagua mtandao unaotaka


Stage 3, (super master), utalipwa $3000

Pia utaweza kunufaika na faida zifuatazo:

Gari mpyaa (Hyundai) yenye thamani ya $10,000

Nafasi za masomo kwa watu wawili wa familia yako au mtu yeyote utakae mchagua ambapo kila mmoja atagharamiwa kwa kiasi cha $1000, hivyo basi utapewa $2000 kwaajiri yao,

Mafunzo ya ujasiriamali kwa ajiri ya kuanzisha biashara yako


Stage 4 (minister), utalipwa $6000

Pia utaweza kunufaika na faida zifuatazo:

Gari mpyaa (Hyundai jeep) yenyethamani Zaidi ya $27,000

Mkopo usio na riba wenyethamani ya $12000

Nafasi ya masomo kwa watoto wako wawili(2) kuanzia shule ya awali hadi chuo kikuu.


Utapewa nafasi ya kuanzisha biashara yako au mradi wowote ambao wewe unaweza kuufanya ambapo h2i watagharamia kwa asilimia mia (100%) ya gharama zote zinazo hitajika kwaajiri ya kuanzisha biashara / mradi wako.


Stage 5 (prime minister), utalipwa $ 12000

PIA utapata fursa ya kujengewa nyumba yenyethamani ya $40,000, hapa utachagua mwenyewe kama ujengewe nyumba yenye thamani hiyo au upewe pesa taslimu.

Pia utapata kuhudhuria vikao au mikutano inayofanyika nje ya nchi bure kwa kugharamiwa gharama zote za usafiri, chakula na malazi na helping hands international

Pia baada ya hatua zote hizo tano (5), utapata fursa ya kuwa miongoni mwa madairecta wa kampuni ya h2i au (board of trustee). Utaweza kunufaika na faida zifuatazo

Bonasi ya $80,000, hii utalipwa mara moja

Utalipwa $10,000 kwa mwaka, kama faida/pato ambalo ambayo kampuni imeingiza

Utahudhuria vikao au mikutano muhimu ya kampuni huku ukugharamiwa kila kitu.

Kila mwaka utateua yatima wawili ambao watapewa nafasi ya kupata elimu huku wakigharamiwa kila kitu na helping hands international.

Hii ni fursa muhimu na ya kipekee kwa wewe unayetamani kujikwamua...usikatishwe tamaa woga wako ndio umaskini wako....

Kupambana na umaskini si kwa maneno tu....jaribu sasa wakati mzuri serikali yetu ikitusaidia kwa sheria za kiulinzi za mtandao...ondoa hofu yako....

Kwa mawasiliano zaidi piga simu zifuatazo

namba 0765 083 895 au+255 762 075 334 au +255 752367766 au WhatsApp namba 0752367766 na 0779910202

au email.. registrarh2i@gmail.com

kwa maelezo yakinifu website: https://helpinghandsinternational.biz/
 
Maelezo ni mazuri yanayopendeza akilini na machoni, ila ungetaja ofisi zenu ziko wapi hapa Tanzania ingekuwa vizuri sana ili kuondoa watu mashaka ya kutapeliwa mana mmesema kampuni ni ya kifilipino lakini chini mmetaja namba za simu za mitandao iliyopo Tanzania.!
Na pia mmesema ni taasisi ya kiserikali, je endapo watu wakienda ubalozi wa ufilipino ili kuhakiki taarifa yenu mnauwakika imesajiliwa na balozi ya ufilipino?
 
Pia unaweza tazama video nyingi tu kuihusu kwenye youtube andika "helping hands international" kisha fanya video search
 
Pia unaweza tazama video nyingi tu kuihusu kwenye youtube andika "helping hands international" kisha fanya video search
Maneno ya kitapeli haya, unatakiwa unyoshe maelezo. Je ubalozi wa ufilipino nchini Tanzania wanaitambua hiyo taasisi? na pia ofisi zenu ziko wapi Tanzania?
 
Maelezo ni mazuri yanayopendeza akilini na machoni, ila ungetaja ofisi zenu ziko wapi hapa Tanzania ingekuwa vizuri sana ili kuondoa watu mashaka ya kutapeliwa mana mmesema kampuni ni ya kifilipino lakini chini mmetaja namba za simu za mitandao iliyopo Tanzania.!
Na pia mmesema ni taasisi ya kiserikali, je endapo watu wakienda ubalozi wa ufilipino ili kuhakiki taarifa yenu mnauwakika imesajiliwa na balozi ya ufilipino?
hapo ni makosa ya matumizi ya lugha nilitaka kumaanisha iliyosajiliwa na serikali na unaweza kwenda kuuliza katika mamlaka za usajiri mi ni member katika hiyo network ofisi niayoweza kukueleza vizuri ni ya ubungo riverside mbele kidogo ya landmark kuelekea mabibo utaona kabarabara ka vumbi kabla ya kituo cha mafuta fuata hiyo utaona nyumba yageti la bluu ndani kama kagereji basi maeneo hayo utaona jengo la ghorofa moja nenda humo ndimo ofisini. ofisi zingine sina info za kutosha japo najua zipo nyingi ikiwapo moja kula sinza karibu na bamaga
 
Maneno ya kitapeli haya, unatakiwa unyoshe maelezo. Je ubalozi wa ufilipino nchini Tanzania wanaitambua hiyo taasisi? na pia ofisi zenu ziko wapi Tanzania?
maelezo ya ofisi nimeyatoa hapo juu mkuu soma vizuri ukiona hujaridhika achana nayo lakini jipe muda tafuta mnufaika hata mmoja ndo maana ya kujiridhisha ofcourse hata mi sipendi kutapeliwa hivyo uoga ni mzuri...ila usiogope mpaka ukashindwa kufuatilia kitu..
 
Hii Ni Kama ile DESS sidhani Kama watu Bado wako tayari kuibiwa hivi...
 
Si rahisi kuelimisha watanzania lakini ni kawaida ya dunia nzima hata galileo aliuwawa lakini mwishowe ukajulikana kuwa ni kweli bado nasisitiza fanya utafiti hiyo desi ni nini kwanini ilikuwa volatile kiasi kile pia tafiti kuhusu hii h2i utapat majibu humu ni matangazo tu kujuzana ili mwezetu usipitwe....
 
Yah watanzania sasa wanabadilika na wako anxious kujifunza
 
Tatizo serikali yetu inaugua kichaa unaweza ukawekeza unashangaa wanazuia acc
 
Back
Top Bottom