SHAMAC
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 1,343
- 3,561
Southampton. Watafiti wa chuo kikuu cha Southampton wamesema watampa pauni 3,526( sawa na sh10.3 millioni) mtu yeyote atakayejitokeza aweze kuambukizwa kikohozi ili kusaidia uvumbuzi wa kisayansi.
Lengo lao kuba ni kutengeneza chanjo bora kuwalinda watoto na watu wazima ambao wapo hatarini kuambukizwa ugonjwa huo.
Vigezo vya kuweza kupata nafasi hiyo ni kama ifuatavyo.
---Umri kati ya miaka 18-45( Nimekosea kidogo hapo juu kwenye heading sio rika zote.)
---Uwe na afya bora
---Uwe tayari kutengwa kwa siku 17 na kuimba.
Baadhi ya watakaojitolea watakua wagonjwa, lakini wanasayansi wanataka wale ambao hawatakua na dalili zozote kabla licha ya kuwekewa viini hivyo katika pua zao.
CHANZO : MWANANCHI
Haya vijana fursa hiyo, 10.3 Millions ni mtaji tosha tunaolia hatuna mitaji na wengine wenye shida mbalimbali zinazohitaji pesa hii itakua ni habari nzuri kwenu....!!!