Fursa kupiga pesa kwa rika zote...!!

SHAMAC

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
1,343
Reaction score
3,561
Southampton. Watafiti wa chuo kikuu cha Southampton wamesema watampa pauni 3,526( sawa na sh10.3 millioni) mtu yeyote atakayejitokeza aweze kuambukizwa kikohozi ili kusaidia uvumbuzi wa kisayansi.

Lengo lao kuba ni kutengeneza chanjo bora kuwalinda watoto na watu wazima ambao wapo hatarini kuambukizwa ugonjwa huo.

Vigezo vya kuweza kupata nafasi hiyo ni kama ifuatavyo.

---Umri kati ya miaka 18-45( Nimekosea kidogo hapo juu kwenye heading sio rika zote.)
---Uwe na afya bora
---Uwe tayari kutengwa kwa siku 17 na kuimba.

Baadhi ya watakaojitolea watakua wagonjwa, lakini wanasayansi wanataka wale ambao hawatakua na dalili zozote kabla licha ya kuwekewa viini hivyo katika pua zao.

CHANZO : MWANANCHI


Haya vijana fursa hiyo, 10.3 Millions ni mtaji tosha tunaolia hatuna mitaji na wengine wenye shida mbalimbali zinazohitaji pesa hii itakua ni habari nzuri kwenu....!!!
 
Mkuu hakuna ugonjwa mdogo as long unakuwa katka hali isiyokuwa ya kawaida, hapana wawafanyie wanaoumwa.
 
Mkuu hakuna ugonjwa mdogo as long unakuwa katka hali isiyokuwa ya kawaida, hapana wawafanyie wanaoumwa.


Mkuu Atkins Mendel mara ngapi unaumwa kikohozi..?? Hun shida na pesa
 
wanapatika wapi hao majitu.. usawa umekaba huu.. nauli ya ndege watanilipia wao???
 
Ujipe maradhi mwenyewe yakikuua utanlaumu Mungu?,
 
Uambukizwe kikohozi?Hebu leta link tusome wenyewe

Unajua kikohozi kina sababu nyingi sana ,sasa unachoambukizwa ni kipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…