Fursa kutoka MaxMalipo

Thomas Mkono

New Member
Joined
Aug 18, 2017
Posts
1
Reaction score
0
Maxcom Africa ni kampuni iliyoanzishwa mnamo mwaka 2010 nchini Tanzania, Maarufu Kwa jina la maxmalipo. Kampuni hii imejikita katika kutoa huduma za ulipaji wa bili na tozo mbalimbali Kwa kutumia mifumo ya kielektroniki inayohusisha mawakala wa maxmalipo waliopo nchi nzima.

FAIDA ZA KUA NA MASHINE YA MAXMALIPO.

* kuvuta wateja wengi kwenye biashara yako ya awali.

*kuongeza wigo wa biashara Kwa kutoa huduma nyingi zaidi.


Pia wakala ataweza kutoa huduma kama zifuatazo

*luku
* Sumatra
*bili za maji
*ving'amuzi vya aina zote
*vocha mitandao yote
*kulipia leseni za magari, leseni za biashara
*huduma za kibenki( CRDB,NUMB,DCB,UMOJA)
*TCU

WAKALA ANATAKIWA KUA NA VITU VIFUATAVYO

.leseni ya biashara
.TIN namba
.passport size ndogo mbili za rangi
.barua ya serikali za Mirada
Pamoja na copy ya kitambulisho kiwe cha kupigia kura, cha utaifa au chaudereva.

Kujipatia mashine ya maxmalipo unatakiwa kua na jumla ya Tsh. 674,000/=

Ambayo gharama ya mashine sh. 650,000/=
Gharama ya SIM card 24,000
Mtaji wa kuanzia sh 150,000
Jumla kamili sh. 824,000

Zingatia
Kujiunga hakikisha malipo yote yanalipwa katika account zetu au ofisini.
Nmb account 20110002100
Nbc account 074103 001182
CRDB account 0j1015012300

Kwamawasiliano
Piga namba

0672668675

JIVUNIE MAXMALIPO NI YAKO






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Over pricing io.
Ushauri tuu, io laki nane bora uongeze mtaji wa duka, au tigopesa, bidhaa za maxmalipo hazitoki, mtandao mbovu, ukikosea transaction hela imekwenda. Nna uzoefu nazo kwaio najua nnachokiongea.
Pia lak na nusu ka mtaji ni ndogo sana.
Nashangaa kwann serikal haiwachunguz, wanauza izo mashine kwa bei kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…