Fursa kwa kutumia used tairi za gari zilizomaliza muda wake.

kevoo 27

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2016
Posts
407
Reaction score
383
Leo katika kuperuzi mtandaoni nimekutana na kitu ambacho ki naweza kuwa chanzo cha kujipatia kipato kwa vijana, kwa kutumia matairi ya gari yaliyomaliza muda wake kwa kutengeza vitu vifuatavyo
Kwa aliye tayari anaweza kujiajiri kupitia hii idea kwa maana hata mtaji wake si mkubwa sana.
Mm nimetoa wazo sina mtaji ambaye yuko tayari tunaweza kushirikiana tukafanya kitu.
Nawasilisha!!!
 
Iko poa sana hii kwa aliye serious...Ngoja wanakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…