Fursa kwa mameneja wa Benki

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
693
Habari wana JamiiForums,

Natumaini nyote ni wazima wa afya, kwa wale wanaosumbuliwa na maradhi nawaombea kwa Mungu mpate kupona mapema.

Binafsi nina "BRILLIANT IDEA" ambayo nimeifanyia research kwa mda mrefu, na nimejiridhisha kwamba endapo wazo langu litatumiwa na tasisi za kifedha litaweza kuwapatia faida kubwa sana.

Kwa tasisi moja ya kifedha, kama bank ikilitumia wazo langu vizuri litaweza kutengeneza faida ya zaidi ya Billion 6 kwa mwaka, kwa kuwa wazo langu ni UNIQUE na linaleta faida kubwa ya kifedha.

Niko tayari kuzungumza na General Manager au Manager mkubwa yoyote katika tasisi ya kifedha lakini siko tayari kuzungumza na ofisa yoyote wa ngazi ya chini katika tasisi yoyote ya kifedha kwa sababu nahofia wazo langu kuchakachuliwa. Kama kuna tasisi yoyote ya kifedha ambayo itahitaji wazo langu naomba wani PM tuwasiliane!

Asante sana!
 
Ushaliweka katika maandishi? Kama bado liandike kwanza kwa kina ndipo ukubaliane na manager kupresent ilo wazo.
 
Ushaliweka katika maandishi? Kama bado liandike kwanza kwa kina ndipo ukubaliane na manager kupresent ilo wazo.

Nimeshaliandika mkuu,kila kitu kipo tayari nasubiri ku Present tu,kwa manager yoyote ambaye yupo tayari kukuza tasisi ya kifedha kwa kuongoza faida kubwa anitafutee!
 
Ideas are mostly worthless.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…