Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,108
Wakuu naomba tujadili kwa pamoja baadhi ya fursa ambazo wajasiriamali tunaweza kuzipata. Michango yenu inaweza kuzingatia SWOT ANALYSIS ili mtu anapoandaa project plan yake iwe virahisi zaidi
Mimi kwa haraka haraka naona fursa zifuatazo
1. Guest Houses kwani watumishi wengi wataenda kule kupata huduma
2. Usafiri kama madaladala na taxi kwa sababu ya ongezeko la watu
3. Mighahawa na hotels kwa ajili ya wageni
4. Vituo vya mafuta
5. Biashara ya kuosha magari
6. Kukamata viwanja kwenye prime areas
7. Photocopiers, fax na stationery jaribu na maofisi makubwa
8. Maji ya kunywa
9. Kung'arisha viatu kabla watu hawajaingia wizarani
10. nk
Tuendelee kujadili kwa pamoja. Na watakaofanikiwa kwa baadaye si mbaya ukatoa shukrani hapa jukwaani
Karibuni sana wa ndugu