Fursa kwa Vijana 200 wa kitanzania kuwekeza kwa pamoja

Fursa kwa Vijana 200 wa kitanzania kuwekeza kwa pamoja

king Davidson

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
252
Reaction score
1,063
Natafuta vijana 200 ambao tutaunda group la Whatsapp kwa commitment ya kuchangia kwa kutuma moja kwa moja kwenye benki husika sh. 50,000 mpaka 84,000 kila mwisho wa mwezi ambazo zitawekwa kwenye FIXED DEPOSIT ACCOUNT benki kwa kuanzia Januari mpaka December 2018 ili kwa pamoja tuwe na mtaji wa sh. 120,000,000 mpaka 200,000,000 ifikapo December 2018 zitakazotuwezesha kufanya mradi mkubwa utakaopendekezwa na group members na sote tukawa na umiliki kwenye mradi huo mfano: kufungua kiwanda etc. Kama upo interested nicheki inbox nikutumie link ya kujoin group tuiboreshe hii project. I need vijana walio serious tu!

Tanzania Investment Group
 
Wazo zuri ngoja tuwasubiri Workers. Sis wagangia tumbo battery low [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
 
Ml 200 si utakimbia nazo siku ya mafungasho? Makundi ya kiafrika hayaendeleagi kamwe, R.I.P. KNCU, n.k
 
Ukiangalia historia ya startup nyingi wameanzia kujuana wakiwa shule,mtaani hivyo inakuwa rahisi kuunganisha nguvu kwa kuwa wanajuana.Sasa humu utaambulia ahadi hewa tu na kuunganisha watu kwenye group LA whatsup,yaani kwa kijana ambae hana ajira no ngumu sana kuvumilia hadi December ndo muanze process za kufungua kiwanda.Yaani afadhari kuchukua uagent wa cement ya dangote wanahisa wanaweza kupata gawio kwa Mwaka 2019 kuliko hiyo mipango yenu.
 
Wengine wako wanamtolea povu Ontario kuhusu forex, na huko mkidhurumiana mrudi kupondana jukwaani ruksa!
 
Huu uzi umetoka FB na ni wa rafiki yangu James Shirima wa Pweza cafe. Sasa kama wewe siye mwenyewe inabidi utoe crdt na si huu utapeli unaotaka kufanya.
 
Back
Top Bottom