Fursa kwa wadau wa elimu wa shule za awali na msingi Tanzania

Allaika

Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
16
Reaction score
1
Kupitia Shirika la Friends of East Africa Chieldhood Development Care and Education Tz, kwqa ushirikiano na Omep world (World Organization for Early Childhood Education )
Wanapenda kuwakaribisha wadau wote wa Elimu kwa kuanzia Elimu ya Awali

Lengo
Kuwaunganisha walimu wa Awali Tz na Wenzao wa KImataifa
Kupewa Elimu (Maarifa),Kushiriki mikutano yao ya Kimataifa ya mwaka, Mafunzo, Usaidi, programu za kujiendeleza- Ujasiriamali jamii katika maeneo yao ya MIkoani.
Kumwinua Mwalimu wa Awali waliosahaulika na Serikali;
Kuwa wanachama wa Taasisi zote mbili FECDCE na Omep World kwa fursa tajwa.

Kutambua ya kuwa, maslahi ya walimu ni duni na kuona umuhimu wa fursa hizi mbalimbali wametoa nafasi 30 zitakazolipiwa Robo tatu ya ada ya uanachama na kilichobakia atamalizia Mwenyewe. Wanachama wengine (Walimu watalipa ada ya jumla)

Ni vyema uwe ni mtu mwenye maono ya maendeleo katika sekta husika ya (Elimu), wenye moyo wa dhati wa fikra Bunifu na kujituma kuleta maendelea ya Elimu ya Awali katika maeneo yao mikoani.Bila kusahau Mawasiano ya mitandao ya kutumia Tehama (ICT) na baruapepe. Ili uwe rafiki wa Huduma na kwa faida yako na jamii.


Kwa maelezo zaidi tuma barua pepe kwenda friendsofecdce@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…