Fursa kwa wasomi: Vyeti kuwa dhamana ya Mikopo CRDB....!

Nilivyoelewa mim, wahitimu wa vyuo vikuu hasa wale wa kilimo ndio wanaolengwa, muhitimu ataweka cheti chake kama dhamani ambapo CRDB watam
uunganisha na taasis fulani (jina limenitoka) ambayo itamdhamin na kumsaidia katika kupata shamba na kulima chini ya uangalizi wa CRDB pia, baada ya mavuno unarejesha deni lao unabaki na faida. ukitaka kukopa tena unaruhusiwa
 
Hivi sheria inaruhusu cheti kiwe converted to money????
2 yrs ago niliweka post humu JF ku-propose ili jambo--ikiwa wameona umuhimu wake bac ni heri! In short, cheti has no mkt value but the idea behind is-how many are ready kushikiriwa vyeti vyao for (say) TZS 20M? b4 tht article, I did simple survey na kuona pa1 na yote watu still wanajali vyeti vyao! for me, the best collateral is the one the the owner isn't willing to loose it easily nd not its mkt value!
 
hii ni tz wakianza we kachukue fasta...hii serikali ya weu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…