Diwani
JF-Expert Member
- Oct 25, 2014
- 2,680
- 2,779
Habarini wapendwa,
Naomba kuwajulisha fursa ya ujasiriamali wa huduma ya chakula pale ubungo external. Wafanyakazi wengi wa BENJAMIN MKAPA PROCESSING ZONE huwa wanatoka nje muda wa chakula kwa ajili ya chakula, lakini wengi hukosa chakula kwani kuna migahawa michache (3) na inayojitahidi kutoa huduma ni 2, hivo basi wengi hununua chakula wasichokitarajia
Kutokana na kazi yao, wengi hupendelea ugali, lakini mabanda mengi ya karibu hupika chipsi, hivo basi wao hu suvive kwa chakula kama hiko.
Lets take wafanyakazi 100, wametoka nje kwa ajili ya chakula, 30 kati yao hupata chakula, 40 kati yao hula chipsi na vyakula wasivyotarajia, 30 kati yao huenda mbali sana na hapo kwa ajili ya chakula. (Ugali), wali etc.
Kwa waliotayari kutoa huduma ya hawa wengine, naomba mtengeneze utayari tumia fursa.