Fursa kwa watumishi wa Umma

Fursa kwa watumishi wa Umma

Balozi limited

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2022
Posts
989
Reaction score
2,565
HII NI KWA WATUMISHI WA SERIKALINI PEKEE

habari Banc ABC (African Banking Corporation) tunakukaribisha uweze kujipatia mkopo

Vigezo vya kupata mkopo wa fedha kwa watumishi wa Umma.
1. Uwe na copy ya kitambulisho cha kazi
2. Uwe na copy ya kitambulisho c'ha taifa.
3. Salary slip moja ya mwezi uliopita.
4. Bank statement (miezi mitatu)
5. Passport size moja tu.

Kima cha chini cha mkopo ni kuanzia Tsh. 500,000 na kima cha mwisho cha kukopa ni 40,000,000.

Muda wa marejesho ni kuanzia miezi 6 mpaka miezi 96 (miaka nane). Utachagua mwenyewe unahitaji mkopo wa muda gani.
Huduma ni popote Tanzania.

pia kwa wale wenye mikopo sehemu nyingine mfano taasisi zingine tunanunua au HESLB PIAinawahusu pia ukiwa na uhitaji tunauwezo wa kununua deni ulilokopa...

FAIDA ZA ABC
1.Hatuna loan process fee
2. Hatuna makato ya bima
3. Mteja anapata mkopo wake 24 mpk 48 hrs
4. Mchakato wote tunakufanyia huku ukiwa unaendelea na shughuli zako freely
5.Sio lazima Uwe na account banc ABC, tunakutumia hela kwenye account yako ulionayo, lkn pia tunakukaribisha sana.
6. Riba ni asilimia 11 kwa kipindi cha muda mfupi, kuanzia miezi 6 mpaka miaka 2 na asilimia 16 kuanzia miaka 3 mpaka 8 na unapochukua miaka mingi sio lazima ulipe miaka yote unaweza ukalipa kwa muda kadhaa kisha ukatuomba balance ujue iliobakia kisha unaweza kuimalizia kulipa kwa pamoja bila RIBA.
 
Mpaka jf mpo? Mmetisha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

IMG_20221012_223208.jpg
 
Hawa jamaa wanalalamikiwa sana na wateja wao kwenye suala zima la riba. Hivyo wanatakiwa waweke riba zao hapa ili tujiridhishe. Kinyume na hapo, watumishi waendelee tu kwenda CRDB na NMB.
Wamekuja Kuumiza Watu
 
Back
Top Bottom