Fursa kwa wenye malori na madalali

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
5,936
Reaction score
4,707
Wasaalam Wanabodi..

Nimepata Subcontract Dangote Industries (T) kwenye usafirishaji wa Cement. Kwa sasa sina Lori za kutosha hivyo ningehitaji hata Lori zingine 50.

Kwa wamiliki wa Malori ya Tani 30 naomba mlio serious kufanya kazi njooni PM tubadilishane namba tufanye biashara..

Na kwa madalali ambao mnaweza kuniunganisha na wamiliki nitakulipa elfu 20 kwa kila Lori utakaloniunganisha nalo..

Wote mnakaribishwa PM tufanye biashara..

Wenu katika ujenzi wa taifa.. SC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…