Pompiduu Sengiyumva
Member
- Oct 27, 2013
- 16
- 13
Naombeni nifahamishwe kuhusu gharama za kusafirisha mbao toka Mafinga kuja Dar es salaam. Je,unafata mtiririko upi ? Je, pia kwa mkoa wa Iringa biashara ya mitumba inalipa?
Nipm nikupe utaratibu
Mkuu ni copy na mm huo utaratibu,
Pia kama unaeza jua juu ya upatikanaji wa mashamba ya miti plz nao nahitaji kujua hasa kuhusu bei kwa mashamba mapya yaani yasiyo na miti!
Unataka kununua shamba lililo na miti au unataka kupanda mwenyewe?
Nikijua bei ya lenye miti na lisilo na miti itanisaidia kufanya decission!
0712416363 nicheki
Weka mambo wazi,kuficha ficha sana tunaanza kuhisi utapeli!