Fursa mbalimbali katika Sekta ya Bahari zenye kuingiza kipato kikubwa

Mkuu jamaa aliniambia tasac wanafanya kila kitu ni mtu Yuko TPA dar , Sasa sijui nimuamini nani
 
Sio kweli Tasac wanaratibu shughuli zote za usimamizi na utoaji shehena na hats kama zinafanya na watu binafsi lazima wao wajue.

Sio kila kitu Tasac wanafanya ingia mtandaoni uone shughuli zao.
 
Asante sana mkuu nmepata mwanga pa kuwekeza akika tena
 
Habari mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…