sometimesyes
JF-Expert Member
- Dec 5, 2017
- 360
- 288
Nunua birauri ya kukunja [emoji30]
Yaani , Utaratibu wa Vikapu Itabidi urudi....hiyo mifuko yenu inaweza kubeba kilo tatu za mchele na tikiti maji la 2000 wakati natoka sokoni??
Ulizaliwa lini ! [emoji41] Vikapu kazi yake ilikuwa nini ??fikirini nje ya box nyie, acheni ushamba!!!
kwahiyo mnategemea hizo karatasi zenu ndio ziwe full replacement ya mifuko ya "Rambo/Marlboro".
assume umeenda kwa soko umenunua mchele kilo 3, unga kilo 2 na nusu, ndizi robo mkungu, nyanya za 1500, na chainizi za 1000 (ambazo hazijakatwa katwa). Je, hutu tukaratasi twenu tunaweza kuhimili vitu hivyo???
mmeona sasa ambavo hamfikirii nje ya box.
Inabidi uamie kwenye Ramba-Ramba mkuuMkuu mimi ni mjasilia Mali Wa kugandisha barafu ba vifungashio vyangu ni ile mifuko midogo ya plastic ,hapo ntafanya nini wakuu?
Sent using Jamii Forums mobile app