Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
thubutu kukutwa na millionea
.pete hiyo ndo atayokuvika..imetengenezwa kwa madini ya Tsavorite green na almasi pure.
pete hiyo imebuniwa paris na mbunifu mkubwa wa jewellery anaeitwa Van cleef and arpels.
mwezi wa kufanya harusi ni lkuanzia december labda ikitokea harusi isogezwe mbele..gauni la harusi litatoka paris pia.
kama una sifa hizi tajwa tafadhali apply mapema..
-uwe mwanamke mcha Mungu..unaempenda Mungu haswa.yani uwe unampenda Mungu kwanza kabla hujanijibu "I LOVE U TOO LE MILLIONAIRE"
-Kama wewe ni MLEVI au umewahi kuwa mlevi CHAPOMBE please usiapply.
-rudia kigezo cha kwanza na cha pili kwa umakini .kama una sifa tajwa hapo juu tuma cv yako kwa email ntyoiweka hapa.,ukiambatanisha na vitu vifiatavyo.:
1.nakala ya cheti chako halisi cha kuzaliwa..
2.kadi yako ya NSSF/PPF
3.Salary slip zako za miez mitatu ilopita.
4.picha mbili za passport siz
5.excel sheet yenye majina ya wapenzi wakp woote uliopitia na kazi zao wanazofanya..ilioidhonishwa na msajili wa vyama vya siasa na kuthibitidhwa na mwenyekiti vyama vya wafanyakazi tanzsnia.
6.barua ya kujieleza kwanini unaitaka hii pete na ndoa..na kwanini mpaka sasa hujaolewa tu.
7.ushahidi wa kimaandishi kwamba unaamkaga saa 8 su 9 usiku kusali uliosainiwa na mwenyekiti bodi ya wanamaombi tanzania..saini ya askofu mkuu jimbo lako..na majirani 5 eneo unapoishi.
8.nakala halisi za vizazi na vifo zikieleza ni mimba ngapi umeshachoropoa mpaka sasa..
ALL THE BEST.