Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 2,973
- 3,904
Mkuu ungedadavua japo kidogo ni kipi walichozungumza kuhusu hilo walilojifunza huko Uturuki, kuna members humu wapo nje ya Dar hawataweza kuhudhuria hio semina
After all kwanini wanachaji kiasi kikubwa hivo, kama wao huko Uturuki walipelekwa kwa gharama za Serikali au mfadhili yoyote kwanini wao nao wasitoe hio Elimu bure kwa faida ya watanzania woote
Badala wakalime ili wapate wao hiyo faida wanayoizungumzia wanataka kula pesa yetu. Practical hawataki kuapply, wao theory tu!!
Ni zao gani specifically la bustani wanazungumzia? au ni yoteMimi sijaweza kueleza kila kitu.Hawa jamaa wanazungumza kupata faida ya zaidi mil 100 kutoka kwenye hekta 1 (eka 2 na nusu) Ni teknolojia mpya nzuri sana. Nimeridhika na maelezo yao ndo maana nikawashirikisha. Ktk pesa hizo 50,000 inaisha kwenye chakula na ukumbi tu. Hakuna faida kubwa hapo. Hilo swali aliulizwa na Mwanndishi na akajibu hivyo.
Mimi sijaweza kueleza kila kitu.Hawa jamaa wanazungumza kupata faida ya zaidi mil 100 kutoka kwenye hekta 1 (eka 2 na nusu) Ni teknolojia mpya nzuri sana. Nimeridhika na maelezo yao ndo maana nikawashirikisha. Ktk pesa hizo 50,000 inaisha kwenye chakula na ukumbi tu. Hakuna faida kubwa hapo. Hilo swali aliulizwa na Mwanndishi na akajibu hivyo.
WanaJF,
Majuzi nilikuwa nawasikiliza wasomi wa SUA walioenda Uturuki na kurudi na taaluma nzuri hoticulture. Ktk maelezo yao nilifurahi JInsi ambavyo unaweza kulima hekta moja (eka 2 na nusu) na kupata faida kubwa sana ndani ya mwaka mmoja. Gharama ya semina hiyo ya siku moja ni Tsh 65,000. Itafanyika tarehe 11kuanzia saa mbili asubuhi, ktk ukombi koma koma house mwananyamala, mkabala na jengo la Bank ya Akiba Commercial Bank. Kwa maelezo zaidi kuhusu Location mpigie mkurugenzi wao (0617 135869)
NB. Mimi siyo sehemu ya hiyo kampuni ila natoa fursa kwenu ninyi wanajf ili tukafaidi wote.

. Agriculture Media tumeona tatizo kubwa ni mtazamo kwa watanzania. Kutokujiamini, vipaombele na ujasiri katika shughuli za kiuchumi.
Badala wakalime ili wapate wao hiyo faida wanayoizungumzia wanataka kula pesa yetu. Practical hawataki kuapply, wao theory tu!!
Mkuu Barraza nawe ulishawashitukia eenh! Nawakubali madaktari wa binadamu hufundisha na unawakuta vyumba vya upasuaji, na wanafungua zahanati na hospitali lakini wajanja wa sekta ya kilimo mwee kilimo cha mdomoni na kwenye karatasi.
Mikael P Aweda kama hutojali plz rudi hapa ujibu hii postUkifanikiwa kuhudhuria bwana Aweda uje utumwagie uhondo kwa uchache humu jamvini au sio mkuu.
Hii nchi yetu n vigumu sana kuendelea Jamaa kama hao baada tu ya kupata elimu ilitakiwa sasa hivi wawe wako Chaka na wanapiga jembe vibaya, sasa chakusikitisha ni kwamba hawa jamaa utakuta wanatafuta kazi huko Dar na wamona waanze na Tuition za bustani kwanza, Na unaweza kujiuliza walienda vipi huko kama walikuwa hawana nia ya kulima? au ndo yale mambo ya kukuta Maonyesho ya Utalii huko Ulaya badala wapelekwe watalaamu wa Utalii unakuta anaenda Engenear wa Hifadhi mara Mhasibu Mkuu, mara Mkuu wa Madreva wa Hifadhi, hii nimeishuhudia,
Ni vigumu sana sisi kusonga mbele
Naongezea kidogo hapo hapo, hivi Dar kuna wakulima kweli? maonyesho ya nane nane hayafanyiki Dar miaka yote kwa sababu hakuna wakulima.
Semina hizi wangeleta kwetu tunaolima huku Iringa, Arusha,Moro,Katavi nk, ambako hata maafisa wa serikali wana vishamba vya kuzugia week end.
Nyie Wasomi tumieni muda huo kwa wahitaji wanaomaanisha ambao wako vijijini na mikoani. Njooni kwetu Mby tunawahitaji sana mje mtuseminishe ili tuongeze tija la kilimo cha Super Kyela !!!!!!!.