Fursa njema kwa kila mtanzania

Tirus

Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
50
Reaction score
13
FURSA NJEMA KWA KILA MTANZANIA.

HUU NI UKUMBUSHO Kwa Wale wote waliopata Tili zao za Vodacom Mpesa na wapo chini ya kampuni yetu.

Ndugu Wakala tunawapongeza kwa uvumilivu wenu na hatimaye kuona matunda ya uvumilivu wenu , hivyo basi endeleeni kunufaika na Biashara ya Vodacom Mpesa,endapo una tatizo lolote tuendelee kuwasiliana.

Vilevile endapo kuna Ndugu, Jamaa na marafiki wanaopenda kujiunga na Kuwa Mawakala wa Vodacom Mpesa, basi waambie wafuate utaratibu uleule, ambapo tutaomba atutumie photocopy ya TIN-TRA, LESENI pamoja na KITAMBULISHO CHAKE.

Hahakikishe Majina yote yanafanana kwenye LESENI, TIN-TRA pamoja na KITAMBULISHO chake.

Angalizo:Kama vielelezo vyake/vyako vilishawahi kupata Tili ya Vodacom Mpesa ujue Uwezekano wa kupata nyingine kwa sasa ni mdogo.Kipaumbele ni kwa vielelezo vipya tu.

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi-0768-684790 , 0787-899196 , 0756-027849 au ututumie e-mail kupitia cyrusomolo@gmail.com AU mnyambuenterprises@yahoo.com

Tunakutakia Mafanikio mema.
Cyrus Okolah Omolo
MNYAMBU ENTERPRISES-WAKALA MKUU WA VODACOM TANZANIA
S.L.P 281 MWANZA
S.L.P 156 BARIADI-SIMIYU
 
je ukifanikisha hivo vipi capital ni lazima uwe na kiasi gani kama kianzio ndipo upewe idhini
:tonguez::A S-rap:
NATAMANI SANA KUWA MIONGONI
 
Mkuu gharama Kwa huduma zenu mpaka kupata line ni shilingi ngapi?na mtaji natakiwa nianze na shilingi ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…