umeshawahi kujiunga na market networking yoyote ambayo hadi leo hii hujaona mafanikio?hii haina utapeli ni ya kweli mimi nimeona,zanteli wakishilikina na kampuni ya rifaroafrica wameungana kufanya biashara ya mtandao ambapo kwa mtaji wa 76500 tu unaweza kupata zaidi ya milion moja kwa mwezi,karibu mjaribu fursa hii,kwa maelezo zaidi piga au sms namba 0778369654.
Mh. Too good to be true
NEXTLEVEL rudisha ile avator yako iliyozoeleka mkuu. Vipi hii link wewe umeijaribu? umefanikiwa kupata mkwanja?Wakati unatafuta kazi jikite hapa pia uweze kujipatia fedha kila ikifika $100 unaidraw nirahisi na bure kabisa alika watutengeneza network yako nikama facebook unalipwa kutokana na matangazo kwenye ukurasa wako au wa vizazi vyako. Fuata link hiyo chini kufungua acount CODE ni kasaz
https://www.tsu.co/kasaz
View attachment 233469
NEXTLEVEL rudisha ile avator yako iliyozoeleka mkuu. Vipi hii link wewe umeijaribu? umefanikiwa kupata mkwanja?
Hapo ndio mnawakamatia wake zetu, akisikia M 1 kwa mwezi hata umueleweshe vipi hasikii kitu, mpaka atakapokuwa ameliwa ndio analudi kichwa chini.