Fursa pekee kwa wazazi juu ya malezi bora ya watoto

vision 2020+

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
91
Reaction score
18
Fursa pekee kwa wazazi juu ya Malezi bora ya watoto.
Kutokana na kasi ya Maisha na Dunia kuwa Kijiji Kimoja, wazazi wengi wameishia kuwa na watoto lakini hawapati muda wa kutosha wa kutoa mafunzo na kuwapa malezi bora. Matokeo yake watoto h...ushidwa kutimiza malengo yao.
Mikono Speakers ikishirikiana na wataalam Kutoka Norway na Tanzania inakuletea semina Maalum juu ya ulezi bora wa watoto.
Mahali ni JB Belmont Hotel, tarehe 14 Disemba 2013, kuanzia saa 3 asubuhi
Kiingilio ni Tshs. 100,000 kwa mtu na Tshs 180,000 kwa wazazi/walezi wawili na utajipatia vinywaji na chakula cha mchana.
Wahi sasa, nafasi ni chache! Piga simu namba 07171
09362, 0784636169 au barua pepe info@mikono.biz. Wote Mnakaribishwa. info@mikono.biz
 
Hiyo bei kubwa mno, si dhani kama kuna value for money.
 
Siamini kama kuna mtu anaweza kunifundisha kulea mtoto wangu, tunaishi mazingira tofauti, mila nadesturi tofauti kiwango cha kipato pia tofauti sasa hapo nafundishwa nini? Watoto pia hutofautiana uelewa, tabia na hata mitazamo.
 
Mkuu unawanyima wajasiriamalí kipato ujue.
 
Kabisa! yaani ni kitu hakifundishiki, bora siku hiyo uitumie na wanao nyumbani kuliko kujitafutia outing nyingine
Siamini kama kuna mtu anaweza kunifundisha kulea mtoto wangu, tunaishi mazingira tofauti, mila nadesturi tofauti kiwango cha kipato pia tofauti sasa hapo nafundishwa nini? Watoto pia hutofautiana uelewa, tabia na hata mitazamo.
 
Siamini kama kuna mtu anaweza kunifundisha kulea mtoto wangu, tunaishi mazingira tofauti, mila nadesturi tofauti kiwango cha kipato pia tofauti sasa hapo nafundishwa nini? Watoto pia hutofautiana uelewa, tabia na hata mitazamo.

siamini kama unaweza ukawa unajua kila kitu kuhusiana na malezi.. ukienda waweza ambulia mawili matatu ya ziada. kuna faida ya kuhudhuria semina kama hizi.
 
Siku hizi hadi kulea watoto wazazi wanaenda fundishwa??

mbaya zaidi BADILI TABIA moja ya wanaofundisha wanatoka ktk utamaduni tofauti na wakitanzania. Hapa matango pori hayatakosekana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…