Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,693
Tatizo huyu dogo huwa hajitambui, akiulizwa maswali huwa hajibu sijui kwa nini?Safi sana mnapatikana wap?
Labda anataka atafutwe kwa namba alizotoa hapoTatizo huyu dogo huwa hajitambui, akiulizwa maswali huwa hajibu sijui kwa nini?
Mkuu mkuu unauliza wanaishije wakati sisi ndyo tunawafuga kwa njia iyo na wanakuwa vizuri.Hivi unafikiri samaki 2000 - 3000 ni samaki wachache mpk ufuge kwenye lita 10,000/=. Halaf unaacha no tukutafute, njoo ujibu maswali hapa na utuambie wanaishije wakati wa usiku ambapo hewa ya oxygen ni ndogo na bado kapond ni kadogo.
Dodoma na Mwanzaupo wapi?
Gharama ya hilo Tank, Aerator, filter na mbegu, ni TSh ngapi. Operation cost ni Tsh ngapi mpk kuvuna hao 2000Mkuu mkuu unauliza wanaishije wakati sisi ndyo tunawafuga kwa njia iyo na wanakuwa vizuri.
Hapa nazungumzia samaki aina ya kambale. Katika Tank kama hizi huwa tunstumia Aerators na water filters ambazo huongeza oxygen, na kufilter maji.
Pia huwa tunaweka water lettuce( Magugu maji) ambacho hutumia Nitrogen inayozalishwa tokana na kinyesi cha samaki.
PvC pond 1mGharama ya hilo Tank, Aerator, filter na mbegu, ni TSh ngapi. Operation cost ni Tsh ngapi mpk kuvuna hao 2000
Dodoma na Mwanza